Mkapa na Majibu Yenye Utata

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,711
12,067
Jana nilikua naangalia taarifa ya habari ya TBC1, walikuwa wakimhoji Mh B Mkapa nje ya ukumbi wa Mlimani City baada WEF.

Kuna sawali ambalo aliulizwa naye mH kutoa majibu yenye utata nikastuka sana.Kati ya maswali alioulizwa, hili mpaka sasa majibu yake yananichanganya sana

Mwandishi. Ni maamuzi gani magumu ambaye ulishawahi kuyachukua kipindi cha uongozi wako Tanzania?
Mh. Mkapa Mmmh!!!!!Bado napenda kuishi (baadaye alistuka na kulijibu swali kuwa ni kuhusu privetization.)

Sasa wakuu kwanini rais wetu mstaafu alijibu swali kuwa "bado anapenda kuishi"?? Inamaana kuna watu wanamtishia maisha??
Inamaana hana ulinzi wa kutosha???

Kiukweli hiyo habari ilibidi niiamkie asubuhi niisikilize vizuri kwenye kipindi cha jambo leo. Lakini habari ikawa ime-editiwa. kwanini wali-edit kipengele hicho?
 
Hata mimi niliona, alikuwa kama anayechomoa kujibu lile swali, bt later akaamua kujibu 2. Kuwa kuruhusu private sector kuingia kwa miguu miwili kwny hatamu za kiuchumi kwake was inevitable, but y dd he firstly hesitate 2 respond kwa lile swali??
 
Back
Top Bottom