MKAPA: Leo ni nafasi yangu kujisafisha..............

Nyie bana hapa ndo tunapokosana mimi na nyie.........yani mtu atutie katika umasikini halafu mnaongelea heaven and hell?
kwamba tumewashindwa, ume surender kabisa na sasa unamuachia Mungu akamchome Mkapa huko kunakoitwa Hell???!!

Acheni utani bana, huyu ni Jizi na tutamshughulikia hapa hapa muda muafaka ukifika,.......tunatakiwa tumuombee kwa huyo Mungu ili asife kabla Tanzania haijaona mwanga, ili tumshughulikie wenyewe hapa hapa!!!

Amin,
Pale UHURU wa kweli utakapodhihirika: Jeshi la POLISI litakapojitambua, MAHAKAMA itakapozinduka, BUNGE litakapojielewa
na WANANCHI tutakapowanyang'anya MAFISADI hatamu za TAIFA letu. (Hapo ndipo kitakapokuwa kilio na kusaga meno kwa WADHALIMU)
 
Back
Top Bottom