Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Mtazamaji kwanza nikupongeze kwa kulijua maana ya tafsiri sahihi ya jina langu.....................lakini fedha imeliwa na jengo halina hadhi ya hiyo hela na Mkapa kakiri kuwa yeye ndiye kinara wa kuidhinisha huo ufisadi kwanini yeye asiwe mshtakiwa nambari one......ya radar yako wazi hata hela zimerudishwa na Mkapa alipitisha na huku akijua ni ufisadi kwa sababu hakufuata taratibu za manunuzi..................sasa kwanini yeye asiwe mshtakiwa nambari one na Sumaye nambari two na wajumbe wengineo wa baraza la mawaziri wakafuata? Tatizo la Mkapa anafikiri baraza la mawaziri lipo juu ya sheria jambo ambalo anajidanganya hata yeye hayupo juu ya sheria na anaweza kushtakiwa kwa ufisadi wake wa miaka 10 in power..........
Mambo mengine inabidi tutoke kwenye theory tuangaie uhalisia. Sasa mfano.
- Issue ya jengo kutokuwa na hadhi Mkapa anahusikavipi moja kwa moja
Issue ya Kuwa Juu ya sheria hilo Lipo wazi. Tanzania hatujafikia hatua ya kuwshitaki Rais na hata PM hata wakistaafu.Kinadharia kweli hawako juu ya sheria lakini Kiuhalisiaa President sometime hata wa USA na nchi ziilzoendelea wako juu kwa namna moja au nyigine.
The worst-best case scenario kwa mkapa au hata JK akiondoka ni labda usanii wa tume kama zile zilizomuweka pembeni Lowasa. Tena kwenye demokrasia hii hata CDMa uCUF wakichukua nchi the likes Mkapa/kikwete hawawezi kukosa usingizi.Hizo sarakasi nyingine watacheza na kina mramba,Yona na Mahalu
Mkapa anaweza kufungwa na utawala wa kijeshi sio wa kidmemorasia regarless chama gani Kinashika dola.
Nadhani umenisoma .