MKAPA kweli amejiaibisha

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Dec 26, 2006
4,184
671
mheshimiwa Mkapa amewachana live wapinzani na hasa ambao wanajiita wanataka kuiokomboa nchi akina CHadema

mosi akiwaambia kuwa CCM na serikali yake ndio ilioikomboa nchi tokea 1961

CCM na chama chake ndio kilichoshirikiana na nchi za jirani kuweza kujikomboa kutoka kwa wakoloni na mabeberu

amezungmzia suali zima la kubinafsisha na kuonesha jinsi gani walivyotekeleza sera hio kwa ufanisi, na kuwaita wapinzani wavivu wa kufikiri
 
Ushabiki kitu mbaya kabisa, ina-cloud reasoning na common sense

Hivi kuna haja gani ya kuwa na mosi ilhali huna mpango wa kuwa na pili?
 
ameeleza jinsi walivyokuwa wavivu wa kufanya utafiti ni jinsi gani mashirika yaliobinafishwa yalikuwa kabla ya kubinafsishwa na baada?

na akaonyesha ni jinsi gani wazawa walivyopata sehemu kubwa ya mashirika na hata yale waliopewa wageni walipewa kwa kushare sio moja kwa moja
 
Sasa bwana Mkapa anazungumzia CCM ipi mwaka 1961? Anyway, wote tume'originate kutoka CCM lakini unapoona Plan A haiendi sawa lazima uwe na Plan B. Kwa sasa CCM plan yao ni kuifilisi hii nchi na kama ukitaka kuikomboa unaonekana ni mjinga basi sawa lakini mtuachie nchi yetu.
 
mheshimiwa Mkapa amewachana live wapinzani na hasa ambao wanajiita wanataka kuiokomboa nchi akina CHadema

mosi akiwaambia kuwa CCM na serikali yake ndio ilioikomboa nchi tokea 1961

CCM na chama chake ndio kilichoshirikiana na nchi za jirani kuweza kujikomboa kutoka kwa wakoloni na mabeberu

amezungmzia suali zima la kubinafsisha na kuonesha jinsi gani walivyotekeleza sera hio kwa ufanisi, na kuwaita wapinzani wavivu wa kufikiri

ccm wameikomboa tanzania 1961?huyo mzush,TANU ndo walioupokea uhuru,CCM wakawaita tena wakoloni kuanzia miaka ya 1990 hadi leo
 
ameeleza jinsi walivyokuwa wavivu wa kufanya utafiti ni jinsi gani mashirika yaliobinafishwa yalikuwa kabla ya kubinafsishwa na baada?

na akaonyesha ni jinsi gani wazawa walivyopata sehemu kubwa ya mashirika na hata yale waliopewa wageni walipewa kwa kushare sio moja kwa moja

wewe hebu taja mashirika yaliyobinafsishwa yenye tija kutokana na wawekezaj,hyo tija iwe kwao,kwa nji na kwa wananchi
 
Sasa bwana Mkapa anazungumzia CCM ipi mwaka 1961? Anyway, wote tume'originate kutoka CCM lakini unapoona Plan A haiendi sawa lazima uwe na Plan B. Kwa sasa CCM plan yao ni kuifilisi hii nchi na kama ukitaka kuikomboa unaonekana ni mjinga basi sawa lakini mtuachie nchi yetu.

akae kimya tu Ben
 
Sidhani kama Mkapa ni jasiri tena kama alivyokuwa mwishoni mwa awamu yake ya kwanza na mwanzoni mwa awamu yake ya pili. Mkapa huyu amechafuka, na sasa anapiga domo la siasa tu. Shame on you Mkapa, mwishoni uliharibu karibu mema yake yote uliyoyafanya nyuma. Umeniudhi sana. Hukujua kuwa "heri mwisho wa jambo?"
 
Huyu Mzee nilikuwa namheshimu sasna siku za nyuma. Ni mmoja wa marais intellectuals na anapenda sana kujenga hoja kwa tambo za kisomi na kiburi cha madaraka. Bahati mbaya huwa hawezi kurudi nyuma na kuchambua anayoyasema, yaani hawezi kujisikiliza wakati anaongea.
Bahati mbaya nyingine anaelekea kumaliza heshima kwa kujihusisha na petty politics. Yeye kama mstaafu angeweza kueleza mapenzi yake kwa CCM bila kulazimika kujihusisha na chaguzi za kata na vijiji. Kwa yeye kusema wapinzani ni wavivu wa kufikiri ni kama anawatukana CCM maana for sure hakuna asiyejua kuwa kuna shida ya kufikiri ndani ya CCM. Hata yeye mwenyewe anapokuwa kwenye non-official talk anawasema including their president.
Mbona hatuelezi hayo mashirika ya umma ambayo yaliuzwa kwa kushindwa ku-perform nani alisababisha? Ni Chadema? Na baada ya kuyauza kwa bei poa watanzania wamenufaikaje? Mi nadhani mvivu wa kufikiri ni yeye na chama chake. Anategemea tuwasifu CCM kwa kuuza mashirika ya umma ili tusiitwe wavivu wa kufikiri? Poor him.
 
mheshimiwa Mkapa amewachana live wapinzani na hasa ambao wanajiita wanataka kuiokomboa nchi akina CHademamosi akiwaambia kuwa CCM na serikali yake ndio ilioikomboa nchi tokea 1961CCM na chama chake ndio kilichoshirikiana na nchi za jirani kuweza kujikomboa kutoka kwa wakoloni na mabeberuamezungmzia suali zima la kubinafsisha na kuonesha jinsi gani walivyotekeleza sera hio kwa ufanisi, na kuwaita wapinzani wavivu wa kufikiri
kweli TANZANIA nizaidi ya uijuavyo!mzee mkapa unaweza kusimama mbele ya watanzania nakujivuna kuwa sera ya ubinafsishaji Imeleta tija kwa taifa.....je,ubinafsishaji unaomaanisha ni huu wa KIWIRA,NETGROUP{tanesco} nk!makamanda wa chadema msikatishwe tamaa na kauli za watu wabinafsi{ISOMEKE WEZI} kama akina MKAPA eleweni bila sauti zenu nchi hii Ingeuzwa yote kwani sasa Imeshauzwa nusu' huku mtaani sisi wananchi tunaamini 2015 utakuwa mwaka wakuikomboa nchi yetu nakuweka ulinzi wakweli kwa tunu za taifa letu.
 
Mimi nasikitika sana, na ata naunga mkono maneno ya zito kabwe, uyu analipwa pension ya ustaafu toka kwenye kodi zetu ambao wengine si wana ccm lakini ananyanyua upara wake na kuanza ushabiki wa upande mmoja basi ni heri mabaradhuli kama uyu mkapa wawe wanalipwa izi pension toka katika mifuko ya vyama vyao, hii lzm iingizwe katika katiba mpya ili hawa mafisadi km akina mkapa walipwe pension na vyama vyao fisadi km ccm
 
Mkapa jana akifunga kampeni alisema wapinzani. ni wavivu wa kufikiri,ccm ndio iliyolete uhuru na sio chama kingine.anasahau kuwa edwin mtei mzee ndesa mzee mbowe babaake free mbowe,mzee kasela bantu,mzee fundikira na osca kambona walipigania uhuru,na ilivyoanza vyama vingi wakaanzisha vyama walivyona ccm imekuwa chama cha matajiri na mafisadi mmojawapo akiwamo mkapa na lowasa.aseme yeye kipindi hicho alikuwa wapi?alivyokuwa mvivu wa kufikiri na hana kumbukumbu na muongo hakukumbuka hata kwenye msiba wa joseph kiboko nyerere alipiga picha na vicent nyerere kwenye kampeni anadai hamjui.hata baba wataifa alivyomuua hakumbuki kama alifanya sherehe .alishindwa kufikiri kuuza nyumba za serikali viongozi wajao hawatapata pa kuishi bila kujali akauza viwanda bei ya kutupa bila kujali ajira za walalahoi.benk ya NBC akauzaa kwa kisingizio inaendeshwa kwa hasara mbona CRDB haindeshwi kwa hasara?bora ingeingia ubia na CRDB. Huyo ndio mkapa bushoke kama hamuelewii huyu mzee ni bushoke aliuzaa mali ya umma kwa shinikizo la mama mkapa hata mawaziri alikuwa anachaguliwa na mama la sivyo kichapo tuu.
 
Back
Top Bottom