Mkapa kujibu tuhuma mbele ya waandishi wa habari

Status
Not open for further replies.
siasa za bongo zimeshuka sana sasa wanajadili majina na watu kuliko sera za jimbo na jinsi ya utekelezaji wake...nyerere aliuliwa coz Mkapa angekua rais wa term moja 2000 Nyerere angeweka jina lingine nafikiri Salim angekua rais 2000-2010..mkapa ubwana mkubwa na ulafi aliokua nao akaona amuue baba yetu wa taifa
 
Ngonjera nyingine ni tamu masikioni lakini hazina mantiki wala kufanana na ukweli. Yaani baba wa taifa auawe ktk hospitali maarufu iliyopo ktika nchi yenye hadhi duniani!!! ulofa wa kuamini hivyo si wa wengi. Hata hivyo kelele na mihemuko km hiyo ni ya musimu ...inakuja na kupita....Lakini simaanishi namsafisha Bw BM kwani katika baadhi ya mambo mengine wakati wa utawala wake amenikera sana! husuan uuzwaji wa nyumba za serikali, uuzwaji wa NBC, kashfa za EPA, rada na ununuzi wa ndege ya rais. Pia kwa kuimarisha mapato na kudhibiti mfumuko wa bei..alikuwa jemedari mzuri.

hakuuliwa UK hospitalini pale alienda ikiwa amefika mwisho...sumu aliyowekewa iliwekwa kwenye bustani zake Butiama na ikamwingia kwenye mzunguko wa damu na mifupa...ilikua ni induced leukemia
 
Nategemea mkapa na magamba kumtumia makongoro nyerere kukanusha kwa niaba ya familia ya jkn,
am sure itakuwa hivyo,tusubiri kushuhudia malumbano ya familia.
 
bwm anategemea kuongea mchana huu pale habari mbele ya waandishi wa habari kutokana na tuhuma za kumuua jkn

source ofisi ya bwm

==========
updates


wadau nimepenyezewa habari kuwa bmw hataongea na waandishi tena kwani washauri wake wamemuambia kwa politics move sio vizuri kujibu

nafikiri amepima upepo ila tungoje labda kutakuwa na taarifa maalumu leo

una hakika au unatuvuruga tuu hapa??
 
tunatofautina sana kwa uelewa jamani,mleta mada kasema mkapa atatoa povu,hapohapo nikajua mleta mada ni mhuni,jf tujiheshmu kwnye uchangiaji yani mtu kasimuliwa hadithi naye anaweka hapa,tjitahi kuspeculate vtu kwanza,jf itakuwa ya hovyo sana
 
ben naye "anatishia kujam*aaaa wakati anatumbo la kuhar...............................
 
muuaji wa Nyerere

1.pamoja na ukorofi wooote alionao Mkapa hajawai kumkosoa wala kumgomea Kikwete kwani anaelewa JAKAYA ataruhusu prosecution yake

2.Mkapa ndiye aliyemtaka Kikwete azuie mjadala wa kujivua gamba wakati Kingunge alipoanza kuongea dhana ya magamba ndani ya mkutano.Mkapa alielewa wazi Kikwete angelazimishwa kuachia uenyekitu na dhahiri kikwete angemlaumu Mkapa kwa kutompenyezea habari mapema na hivyo kusababisha apoteze uenyekiti wa ccm chini ya kivuli cha kutenganisha kofia.

3.Mkapa asihoji uhalili wa Vicent=Nyerere family kwani naye amelea watoto wa Mramba.

4.Baada ya kifo cha nyerere nchi iliuzwa kwa kasi ya ajabu

Kwani aliwalea kwa vipi? Mkapa na Mramba walikutana wapi kuleleana watoto
 
Nilijua asingeweza kuongea chochote na waandishi wa habari baada ya watu wake kupitia hapa jamii forums akaoana aina ya maswali ya watu yakoje akajua leo litamshuka. Alizoea zamani kuongea akiwa Rais anaongea kwenye microphone ikulu bila kuulizwa maswali mazito. Kwa leo aina ya maswali ya hapa jamii forums tu alijua wangalau mawili tu leo angekuwa man of the match mwezi huu mzima. Sasa ndio ametambua kwamba alikuwa na mawazo hewa tu kwa kujifanya yeye ni think tank ya watanzania na kuona watu wanaoweza kumshauri ni wazungu ambao wameishia kumuingiza mkenge. Na ajue ameahirisha tu mechi. Ajiandae baada ya mwaka 2015 kulijibu hilo. Kwasasa wakatafute mtu kwenye familia ya JKN kama yupo mganga njaa amuwakilishe Mkapa kujibu hizi tuhuma nzito. Mabadiliko ya kifikra tayari kwa wanachi viongozi mnangoja nini?
 
Huyu Mkapa ni mmakonde wa Msumbiji na ndio maana ana uwezo wa kumuuwa Mtanzania kwa kuwa hana uchungu na nchi hii, na hiki hapa chini ndio chakula chake anachokipenda kinachomsababisha kuwa na akili mgando.

417215_348906631818360_100000970770930_983143_1691811455_n.jpg

Mkuu Matola,
Unatisha Baba! Mi nilikuwa nashangaa sana kwa nini Mkapa ananenepa kila siku? Kumbe hiki ndicho chakula chake!
 
Halafu Utahisi Kama walijua kifo chake JKN, maana mara baada ya kifo chake siku hiyo hiyo TOT walianza kutuimbia nyimbo za hudhuni na nyimbo hizo nyingi zilikuwa ni mpya,!!!!!! cha kushangaza walipata mda gani wa kuziandaa hizo nyimbo nyingi za mazishi?? Nafikiri TOT nao waje watolee maelezo juu ya hilo


Malipo yake John Komba anayapata. Ni unene uliopitiliza, hadi tairi za gari yake zitaanza kubast kwa uzito wake!
 
Unajua huyu mh Vicent Nyerere huwa ni kijana asiye na woga kbs. Huwa anaweza kueleza kitu hata kama ni kuhatarisha maisha yake. Huyu kijana anastahili suport ya umma kwa sababu anajua anachokisema. Ni kweli ametamka kuwa muulizeni BWM alimfanya nini JKN hadi akafariki wakati aliondoka akiwa hai mwenye afya njema!

Hapa BWM ana mengi ya kutueleza uma wa watanzania ili tumuelewe vizuri. Tunahitaji majibu ya maswali mawli
1.Je mwalimu alikufa kwa ugonjwa gani na ulimuanza lini? Ule aliousema kipindi kile hatuna imani kama ni kweli.

2.Iweje alipotoweka duniani mwalimu ndipo akaanza kufanya biashara ikulu? Hapa ndipo ufisadi ulipoanza kwa kuwa kikwazo kilikuwa kimetoweka duniani.
True, but Vincent also ni mlevi wa pombe
 
Mkapa ndiye aliyeanza kuiua hii nchi. Pumbav zake, hafai sana. Pigeni mawe mkimuona street.
 
nimejaribu kuunganisha dot kwa nn matokeo ya uchaguzi jimbo la v.nyerere hayakucheleweshwa.. hawa wajinga walijua kama dogo anaweza kuropoka hayo maovu. bila ubishi ben muuaji.
 
Mkapa alifanya makosa makubwa kwenda Arumeru na kuongelea mambo ya ukoo wa watu! Yeye ni msemaji wa ukoo wa Nyerere? Mkapa anamfahamu Josephat Kiboko Nyerere? Na ni nani alimwambia kuwa Vicent Nyerere sio mwanafamilia ya Nyerere? Ni Josephat - baba mzazi wa Vicent?

Kilimshinda nini Mkapa kutumia muda wake Arumeru kwa kunadi sera NZURI za chama chake bila ya kulumbana ukoo wa watu?

i never expected that from him,kajishushia kisiasa.ona sasa kayaibua mengine.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom