Mkapa kujibu tuhuma mbele ya waandishi wa habari

Status
Not open for further replies.

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
BWM ANATEGEMEA KUONGEA MCHANA HUU PALE HABARI MBELE YA WAANDISHi WA HABARI KUTOKANA NA TUHUMA ZA KUMUUA JKN

source OFISI YA BWM

==========
UPDATES


WADAU NIMEPENYEZEWA HABARI KUWA BMW HATAONGEA NA WAANDISHI TENA KWANI WASHAURI WAKE WAMEMUAMBIA KWA POLITICS MOVE SIO VIZURI KUJIBU

Nafikiri amepima upepo ila tungoje labda kutakuwa na taarifa maalumu leo
 
muuaji wa Nyerere

1.pamoja na ukorofi wooote alionao Mkapa hajawai kumkosoa wala kumgomea Kikwete kwani anaelewa JAKAYA ataruhusu prosecution yake

2.Mkapa ndiye aliyemtaka Kikwete azuie mjadala wa kujivua gamba wakati Kingunge alipoanza kuongea dhana ya magamba ndani ya mkutano.Mkapa alielewa wazi Kikwete angelazimishwa kuachia uenyekitu na dhahiri kikwete angemlaumu Mkapa kwa kutompenyezea habari mapema na hivyo kusababisha apoteze uenyekiti wa ccm chini ya kivuli cha kutenganisha kofia.

3.Mkapa asihoji uhalili wa Vicent=Nyerere family kwani naye amelea watoto wa Mramba.

4.Baada ya kifo cha nyerere nchi iliuzwa kwa kasi ya ajabu
 
Mkapa ndiye muuaji wa Nyerere,kamwe hawezi kuongea na waandishi wa habari kuhusu hilo anajua ndio utakuwa mwanzo wa matatizo mazito
 
Huyu Mkapa anastahili kupigwa mawe popote anaponekana, Baba wa Taifa alimkosea nini mpaka amfanyie unyama huu?
Huyu Mkapa ndio adui wetu # 1 watanzania
 
Naona ameingia sasa kwenye 18 za wanamapinduzi, hizi ni habari njema kwetu. It will be aired in the screens. We will see his flaws today.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom