Mkapa: Kuhoji uhalali wa Rais Pierre Nkuruzinza ni wehu

Mpatanishi wa mzozo unaoendelea nchini Burundi, Benjamin Mkapa amesema wale wote wanaohoji uhalali wa urais wa Pierre Nkuruzinza ni "wehu"...

Akitoa maoni yake kuhusu mzozo huo, Mkapa amesema "inakuaje mtu aendelee kuhoji uhalali wa Rais huyo wakati anaona mabalozi/wawakilishi wa nchi kadhaa wakija Burundi na kukabidhi hati zao za ubalozi na mambo yanaendelea kama kawaida alafu bado mtu anaendelea kuhoji...huo ni wehu"

Amesema wao kama wasuluhishi hawana muda wa kupoteza kujadili huo "wehu" ilihali kila kitu kiko wazi....

Kwa kauli hii ya Mkapa, tayari ameshaonekana anaegemea upande wa serikali kitu ambacho kinatarajiwa kupingwa na upande wa upinzani.

Chanzo: Nimeiskia BBC Swahili



========

BUJUMBURA, Dec. 9 (Xinhua) -- Facilitator in the inter-Burundian dialogue and former Tanzanian President Benjamin Mkapa on Friday ended his three-day visit to Burundi, stating that Burundian President Pierre Nkurunziza's rule is legitimate.

"Elections were held, court cases were raised including the East African Court of Justice (EACJ); and they all said this is a legitimate process which has come to a legitimate conclusion," Mkapa told a press conference before departure, referring to the East African country's 2015 elections during which Nkurunziza won a controversial third term.

According to Mkapa, the legitimacy of the current Burundian government came from the citizens' will through the elections.

Mkapa called on all parties to "renounce violence" in order to give room to dialogue that should be concluded by June 2017.

"The dialogue should focus on creating favorable conditions for free, fair and credible elections in 2020," he said.

Asked whether coup plotters would participate in the talks, Mkapa said this was "out of the question."

"People who have been indicted or charged with the attempted coup, this is not the time to talk to them," said Mkapa.

He however stressed that all the other people who were not involved in criminal acts are welcome to participate in the inter-Burundian dialogue.

Some political actors like Agathon Rwasa, current first deputy-speaker of the Burundian National Assembly and chairman of the National Liberation Forces (FNL), however said it would be "unfair" to exclude what the Burundian government calls "coup plotters," stressing it would be condemning them before they defend themselves.

Mkapa held the press conference after a three-day visit in Burundi during which he held consultations with various stakeholders in the inter-Burundian dialogue.

The inter-Burundian dialogue at the external level has made no concrete progress since its launch in December 2015.

In January 2016, the Burundian government boycotted talks in Arusha, Tanzania, arguing that it could not sit on the "same table" with what it called "non-peaceful" stakeholders.

More than 500 people in Burundi have been killed and some 300,000 people fled to neighboring countries, mostly Tanzania, Rwanda, DR Congo, and Uganda since the outbreak of the crisis.

Huyo sio mpatanishi ni msaidizi wa CCM (C)
 
mabalozi kuwepo kwenye nchi sio kigezo pekee cha uhalali wa utawala - hata nchi zinazo tawaliwa na madikteta na hakuna uchaguzi pia mabalozi wapo
 
Bora angebaki tu ahudhurie sherehe ya Uhuru

Kwa kweli ni bora. Kuna watu wengine wanapewa kazi hazifanani nao kabisaaa.
Afrika kuna matatizo yasiyoelezeka wala yasiyotafakarika. Sasa huyu ni msuluhishi? au ni mchonganishi?
Nawashangaa hata wale waliompendekeza. Aibu kwa nchi na Afrika Mashariki kwa ujumla. Jitu zima kazi ikimshinda anaanzaga kumwaga matusi. Loh!
 
Wanaomuunga mkono ni jirani zetu na wanaomkataa ni jirani zetu,itabidi mzee awe na busara kwenye hili suala.
Mungu wangu, huyu ndio msuluhishi. Kwa maneno haya anageuka mchochezi na wala si msuluhishi.
Sasa ndipo inajulikana kwamba hekima huambatana na wamchao Mungu na ndio maana Suleiman alipoambiwa na Mungu achague anachokitaka ili apewe na Mungu alichagua hekima.
Msuluhishi unapochochea mgogoro wewe ni mzigo kwa waliokuteua kuwa msuluhishi. Mungu pishilia mbali haya.
 
Wanasiasa wa upinzani Burundi wamkataa Mkapa
  • Saa moja iliyopita
Mshirikishe mwenzako
_92908661_38c07ddf-4f9b-4c1b-b9db-44baa28937d5.jpg

Image captionMkapa amesema kuwa makubaliano yataafikiwa ifikapo mwezi Juni mwaka ujao.
Wanasiasa wa upinzani nchini Burundi walio uhamishoni wamepinga jitihada za aliyekuwa rais wa Tanzania za kutatua mzozo ulio nchini humo.

Hii inajiri baada ya William Mkapa kuwaambia waandishi wa habari kuwa si jambo zuri kuendelea kutilia shaka uhalali wa Raia Pierre Nkurunzia.

Nchi ya Buurndi ilitumbukia kwenye mzoo baada ya bwana Nkurunziza kutangaza kuwa angewania muhula wa tatu.

Mamia ya watu wameuawa na maelfu kukimbia nchi kulipozuka ghasia.

Bwana Mkapa alipewa jukumu la kusaidia kutatua mzozo huo, na amesema kuwa makubaliano yataafikiwa ifikapo mwezi Juni mwaka ujao.

Baadhi ya wanasiasa wa upinzani walio uhamishoni wanatafutwa na serikali kwa kupanga maandamano ya kupinga hatua ya Rais Nkurunziza hatua ambazo serikali inazitaja kuwa za kihalifu.

Wengine waliilaumiwa wa kushiriki kwenye mapinduzi ya kijeshi yaliyofeli mwezi Mei.
 
Huyu Mzee anazeeka vibaya, ni bora akae kimya badala ya kuongea pumba.
Mtu mwenyewe mwizi, kaliibia taifa lake akiwa madarakani na kama si ahadi ya ulinzi aliopewa na Magufuli, sehemu yake sahihi ni korokoroni akitumikia kifungo cha maisha. Mwizi kuwa msuluhishi! Kweli hapa Afrika maajabu hayaishi! Hapa kuna tofauti gani na fisi kupewa ulinzi wa bucha?
 
Mkapa has no merit to mediate the conflicting parties in Burundi.It is funny to have a facilitator of his calibre who is morally corrupt than the waring factions. He better resign and give room to honest ones.
 
Hivi kila siku Wewe tu ndio unawaona wenzio ni Wehu au ni Malofa hivi huoni kuwa at the end of the day Mwehu na Lofa halisi atajulikana????
 
Mi mwenyewe nilitaka kushangaa kuwa toka lini BWM amekua mpatanishi, yamememshinda ya nchini kwake atayaweza ya warundi?
 
Mkapa anajivunia kiburi cha uzima ndo maana anakua na dharau kwa nini asingeenda Dr salim yule mzee anabusara sana
 
Umeongea point kubwa sana Mkuu. Huyu hana sifa yoyote ya kusimamia chochote kile nchini au katika nyingine yoyote ile duniani. Bado anapenda kupata attention badala ya kutulia kula pension yake na pesa alizokwapua.

Mtu mwenyewe mwizi, kaliibia taifa lake akiwa madarakani na kama si ahadi ya ulinzi aliopewa na Magufuli, sehemu yake sahihi ni korokoroni akitumikia kifungo cha maisha. Mwizi kuwa msuluhishi! Kweli hapa Afrika maajabu hayaishi! Hapa kuna tofauti gani na fisi kupewa ulinzi wa bucha?
 
Back
Top Bottom