Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,250
- 5,323
Bora upigwe na mwanaume mwenzako aisee.........
si pati.picha kama angekuwa rais awamu hii ya jpmKwa kweli ni bora. Kuna watu wengine wanapewa kazi hazifanani nao kabisaaa.
Afrika kuna matatizo yasiyoelezeka wala yasiyotafakarika. Sasa huyu ni msuluhishi? au ni mchonganishi?
Nawashangaa hata wale waliompendekeza. Aibu kwa nchi na Afrika Mashariki kwa ujumla. Jitu zima kazi ikimshinda anaanzaga kumwaga matusi. Loh!
huyo mzee ndie role model wangu,ukiacha madhaifu yake,the rest yuko poa!Best president ever seen in Tanzania, fluent in English, smart and systematic. Long live Benjamin, the son of a Catechist Mzee William. We love you!
Unaloongea hulifahamu vizuri mkuu. Yanayoendelea kwenye nchi za maziwa makuu siyo mchezo.yaani waandishi wa habari wananiona nimepewa tofali la dhahabu kupiga nalo picha tu wanaandika ohh raisi kahongwa dhahabu ohh sijui nini na nini! Looo! wandishi gani wa habari nyinyi!
Na wale wote wanodhani Tanzania haijakombolewa na wanahitaji kuikomboa ni wapumbavu na malofa!!
Na wale wote waohoji uhalali wa utawala wa Nkurunziza ni wendawazimu!!!
Nimejifunza kuwa kunatatizo katika kichwa cha mwanadiplomasia huyo!
lakini naona aki handle suala la Burundi kama anavyohandle issue ya Zanzibar kwa remote, kakwama tayari. Issue ya Burundi saizi yake ilikuwa Mwl. Nyerere na Mzee Mandela.
Kuiokoa Burundi naomba kazi hii apewe Koffi Anan au Thabo Mbeki.
umeanza kumfuatilia Trump baada ya kutangazwa mshindi ndo yako mkuuTrump hajawahi kutoa kauli hiyo,ni porojo tu za kutungwa mitandaoni.
tofautisha malkia na rais,hata huyo nkurunzinza akijitangaza mfalme hakuna atakayemuulizaTrump kama anao uwezo,amtoe kwanza Malkia wa Uingereza na kushinikiza waingereza wabadili katiba yao
yaani waandishi wa habari wananiona nimepewa tofali la dhahabu kupiga nalo picha tu wanaandika ohh raisi kahongwa dhahabu ohh sijui nini na nini! Looo! wandishi gani wa habari nyinyi!