Mkapa: Kuhoji uhalali wa Rais Pierre Nkuruzinza ni wehu

Rogart Ngaillo

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
899
1,887
Mpatanishi wa mzozo unaoendelea nchini Burundi, Benjamin Mkapa amesema wale wote wanaohoji uhalali wa urais wa Pierre Nkuruzinza ni "wehu"...

Akitoa maoni yake kuhusu mzozo huo, Mkapa amesema "inakuaje mtu aendelee kuhoji uhalali wa Rais huyo wakati anaona mabalozi/wawakilishi wa nchi kadhaa wakija Burundi na kukabidhi hati zao za ubalozi na mambo yanaendelea kama kawaida alafu bado mtu anaendelea kuhoji...huo ni wehu"

Amesema wao kama wasuluhishi hawana muda wa kupoteza kujadili huo "wehu" ilihali kila kitu kiko wazi....

Kwa kauli hii ya Mkapa, tayari ameshaonekana anaegemea upande wa serikali kitu ambacho kinatarajiwa kupingwa na upande wa upinzani.

Chanzo: Nimeiskia BBC Swahili



========

BUJUMBURA, Dec. 9 (Xinhua) -- Facilitator in the inter-Burundian dialogue and former Tanzanian President Benjamin Mkapa on Friday ended his three-day visit to Burundi, stating that Burundian President Pierre Nkurunziza's rule is legitimate.

"Elections were held, court cases were raised including the East African Court of Justice (EACJ); and they all said this is a legitimate process which has come to a legitimate conclusion," Mkapa told a press conference before departure, referring to the East African country's 2015 elections during which Nkurunziza won a controversial third term.

According to Mkapa, the legitimacy of the current Burundian government came from the citizens' will through the elections.

Mkapa called on all parties to "renounce violence" in order to give room to dialogue that should be concluded by June 2017.

"The dialogue should focus on creating favorable conditions for free, fair and credible elections in 2020," he said.

Asked whether coup plotters would participate in the talks, Mkapa said this was "out of the question."

"People who have been indicted or charged with the attempted coup, this is not the time to talk to them," said Mkapa.

He however stressed that all the other people who were not involved in criminal acts are welcome to participate in the inter-Burundian dialogue.

Some political actors like Agathon Rwasa, current first deputy-speaker of the Burundian National Assembly and chairman of the National Liberation Forces (FNL), however said it would be "unfair" to exclude what the Burundian government calls "coup plotters," stressing it would be condemning them before they defend themselves.

Mkapa held the press conference after a three-day visit in Burundi during which he held consultations with various stakeholders in the inter-Burundian dialogue.

The inter-Burundian dialogue at the external level has made no concrete progress since its launch in December 2015.

In January 2016, the Burundian government boycotted talks in Arusha, Tanzania, arguing that it could not sit on the "same table" with what it called "non-peaceful" stakeholders.

More than 500 people in Burundi have been killed and some 300,000 people fled to neighboring countries, mostly Tanzania, Rwanda, DR Congo, and Uganda since the outbreak of the crisis.
 
Kwa kauli kama hizo, watu wa Bara la Afrika, tunaziona kauli za Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, kuwa atahakikisha anawadhibiti marais wote ving'ang'anizi, ambao wako tayari kuzibadili Katiba za nchi zao, ili mradi tu kuwafanya marais hao kuwa 'Life Presidents' kwenye nchi zao, kuwa kumbe Donald Trump yuko sahihi sana!
 
Huyo mzee ameishazoea vya kunyonga hataweza vya kuchinja

Warundi wanachinjana kila kukicha yeye haoni kama ni tatizo hilo kwa vile yuko tayari hata kuingiza nchi yake yenye amani kwenye machafuko ili mradi tu maslahi yake binafsi na mashamba ya miwa na kile kiwanda viendelee kulindwa na serikali ya CCM
 
Mpatanishi wa mzozo unaoendelea nchini Burundi, Benjamin Mkapa amesema wale wote wanaohoji uhalali wa urais wa Pierre Nkuruzinza ni "wehu"...

Akitoa maoni yake kuhusu mzozo huo, Mkapa amesema "inakuaje mtu aendelee kuhoji uhalali wa Rais huyo wakati anaona mabalozi/wawakilishi wa nchi kadhaa wakija Burundi na kukabidhi hati zao za ubalozi na mambo yanaendelea kama kawaida alafu bado mtu anaendelea kuhoji...huo ni wehu"

Amesema wao kama wasuluhishi hawana muda wa kupoteza kujadili huo "wehu" ilihali kila kitu kiko wazi....

Kwa kauli hii ya Mkapa, tayari ameshaonekana anaegemea upande wa serikali kitu ambacho kinatarajiwa kupingwa na upande wa upinzani.

Chanzo: Nimeiskia BBC Swahili
Rogart Ngaillo
KAMA MPATANISHI ANA MSIMAMO HUU, TAYARI KAZI HIYO IMEMSHINDA. ALIDHANI ANAHUTUBIA KAMPENI ZA CCM
 
kuna mama mmoja anaitwa Hafsa Mossi,alipouwawa kwa risasi,mama huyu mbunge wa bunge la afrika mashariki,na nadhani alikuwa mwandishi wa habari wa kati ya bbc/Deustche Welle,nikajua sasa burundi is heading to hell.

[HASHTAG]#prayforburundi[/HASHTAG]
 
Mizee isiyomjua Mungu hutukana sana Watu... Na pia huwa ni mihuni.... Mahakama ingetoa hati ya kulijibu matusi hili zee ingekua haki sana
 
Kwa kauli kama hizo, watu wa Bara la Afrika, tunaziona kauli za Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, kuwa atahakikisha anawadhibiti marais wote ving'ang'anizi, ambao wako tayari kuzibadili Katiba za nchi zao, ili mradi tu kuwafanya marais hao kuwa 'Life Presidents' kwenye nchi zao, kuwa Donald Trump yuko sahihi sana........
Trump hajawahi kutoa kauli hiyo,ni porojo tu za kutungwa mitandaoni.
 
  • Thanks
Reactions: ydn
Huu ndio udhaifu wa nchi za kiafrika kuchagua wasuluhishi kwa kuangalia nafasi walizoshika kwenye nchi zao na sio tabia zao. Huyo Nkapa hana busara bali ni mtu anayeamini kwamba ukiwa mpinzani ni dhambi. Pia ni mtu aliyekulia kwenye mazingira ya nidhamu za woga na unafiki.
 
Wanaomuunga mkono ni jirani zetu na wanaomkataa ni jirani zetu,itabidi mzee awe na busara kwenye hili suala.
 
Back
Top Bottom