Mjue Aisha aliye mchoma kisu meja wa Jeshi

View attachment 44740

Aisha Khamisi Mbaula anayedaiwa kumuua askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Kikosi cha Anga, Meja John Tawete (45), akifikishwa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam akikabiliwa na shitaka la mauaji ya mwanajeshi huyo.

Huyu kweli si ndiyo yule aliyekuwa hapa A town kipindi fulani!
Kama siye basi ni mtu na mdogo wake!
 
aisee huyu dada namuonea huruma kwenye hii kesi hachomoki yaani kaua mjeda? Ana hali mbaya
Huyu dada anachomoka mzima mzima, akipata wakili mzuri, wanatengeneza good papework na kuiback date kuwa miaka ya nyuma aliwahi kurukwa na akili. Hivyo siku ya tukio alifanya mauaji yale due to procation na wakati anachoma kisu alikuwa tayari kwenye state ya insanity, ataachiwa!.

Kutokana na umbo lake na hana hata mtandio, then huko jela yeye hata pata taabu! Ila wa kuhurumiwa ni wanae wawili ambao baba yao yuko jela, mfadhili wao ndio huyo kauliwa na mama yao ambae nae yuko jela!.
 
aisee sisi wanaume vimeo sana. Hebu chekishia huo mzigo ulivyo lakini wapi, jamaa akaamua akakamate kitu kingine na umauti nao ukapiga hodi. Masikini mjeda hakupata hata muda wa kutubu hiyo dhambi aloitenda. Sijui itakuwaje mbele ya Maulana!

Na bado alikua ana mke amelazwa KCMC kwa muda.....sasa sijui nyie kaka zetu tuwasaidieje hapo?!
 
Mbona tuhuma za kosa kubwa hivyo lakini dada hajafungwa pingu?
 
WHAT A COINCIDENCE !!!!!!!!!! amepewa askari anaefanana naye kwa sura na mwili japo askari mrefu kidogo!!!!
View attachment 44740

Aisha Khamisi Mbaula anayedaiwa kumuua askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Kikosi cha Anga, Meja John Tawete (45), akifikishwa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam akikabiliwa na shitaka la mauaji ya mwanajeshi huyo.
 
View attachment 44740

Aisha Khamisi Mbaula anayedaiwa kumuua askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Kikosi cha Anga, Meja John Tawete (45), akifikishwa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam akikabiliwa na shitaka la mauaji ya mwanajeshi huyo.
Linaonekana linapenda shari, lakini heri yake kamuua wazi wazi, kuliko hawa wanaotuwekea sumu kwenye vilaji!
ila afande naye kasimamia ukucha!
 
Huyo dada ameweka historia...mume wake wa kwanza alifungwa baada kumchoma kisu mwanaume aliefumaniwa na huyu dada.....mara hii sasa dada nae anaenda ndani ameua mwanaume ambae amemfumania na ka binti!!!!kama senema vile!!
Alikuwa mumewe au mapozeo tu aka ATM?
 
huyo dada ameweka historia...mume wake wa kwanza alifungwa baada kumchoma kisu mwanaume aliefumaniwa na huyu dada.....mara hii sasa dada nae anaenda ndani ameua mwanaume ambae amemfumania na ka binti!!!!kama senema vile!!

ndo malaana hayo!
 
Yaani huyu Mjeda sifuri kabisa yeye akawachanganya mtu na shoga yake.huyu dada na mwanamke aliyemfumania wanafanya kazi ya huduma ya chakula katika kikosi hicho cha anga.mjeda akavutiwa na Aisha wakaanzisha uhusiano hajakaa vizuri akaanzisha uhusiano na mwenzake na aisha,Naona aisha wivu ukamzidi akaja kulianzisha na kumuua Mjeda,sijui kwanini aliamua kudili na mjeda badala ya huyo msichana mwingine anayefanya nae kazi.Ila mjeda nae mpaka kufikia umri huo bado tu alikuwa yupo yupo hakuna cha ndoa wala nini!

Hapo ni baada ya misuko suko ya mahabusu, naona huyu Aisha analipa sana, sio kama yule nanihii.. cheki figure hiyo !! :lol::lol:
 
View attachment 44740

Aisha Khamisi Mbaula anayedaiwa kumuua askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Kikosi cha Anga, Meja John Tawete (45), akifikishwa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam akikabiliwa na shitaka la mauaji ya mwanajeshi huyo.

Waliimba Vijana Jazz (nisahihishe kama nimekosea-enzi za Hayati Maneti)-inzi kufia kwenye kidonda sio haramu! Fundi ndege kauwawa na INZI aliyemfuata mwenyewe...MUNGU amsamehe huko hukumuni...
 
Back
Top Bottom