Mjue Aisha aliye mchoma kisu meja wa Jeshi

Kwani shangingi sio sifa?
namwonea wivu kuua? Au kwenda jela?

ukichezea koki usiogope kulowa, afu una raba na soksi.
Umejuaje kuwa ni shangingi? Acha wivu, hiyo figa isikufanye umfikirie kuwa ni shangingi ndugu
 
Huyo dada ameweka historia...mume wake wa kwanza alifungwa baada kumchoma kisu mwanaume aliefumaniwa na huyu dada.....mara hii sasa dada nae anaenda ndani ameua mwanaume ambae amemfumania na ka binti!!!!kama senema vile!!
Aisay kuna bonge la movie scripts hapo, itabidi nimtafute producer/director wa film za kihindi hapa kuna big deal.
 
View attachment 44740




Aisha Khamisi Mbaula anayedaiwa kumuua askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Kikosi cha Anga, Meja John Tawete (45), akifikishwa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam akikabiliwa na shitaka la mauaji ya mwanajeshi huyo.
Yaani huyu Mjeda sifuri kabisa yeye akawachanganya mtu na shoga yake.huyu dada na mwanamke aliyemfumania wanafanya kazi ya huduma ya chakula katika kikosi hicho cha anga.mjeda akavutiwa na Aisha wakaanzisha uhusiano hajakaa vizuri akaanzisha uhusiano na mwenzake na aisha,Naona aisha wivu ukamzidi akaja kulianzisha na kumuua Mjeda,sijui kwanini aliamua kudili na mjeda badala ya huyo msichana mwingine anayefanya nae kazi.Ila mjeda nae mpaka kufikia umri huo bado tu alikuwa yupo yupo hakuna cha ndoa wala nini!
 
huyo dada ameweka historia...mume wake wa kwanza alifungwa baada kumchoma kisu mwanaume aliefumaniwa na huyu dada.....mara hii sasa dada nae anaenda ndani ameua mwanaume ambae amemfumania na ka binti!!!!kama senema vile!!

kumbeee! Kilio cha mumewake kufungwa kwa sababu ya umalaya wa huyu dada kimefika kwa mungu, dada anapata malipo ya umalaya wake hapa hapa duniani! Anastahili kunyongwa.
 
Huyo dada ameweka historia...mume wake wa kwanza alifungwa baada kumchoma kisu mwanaume aliefumaniwa na huyu dada.....mara hii sasa dada nae anaenda ndani ameua mwanaume ambae amemfumania na ka binti!!!!kama senema vile!!

yaani ni muvi la ukweli!
 
Atakuwa anajuta kosa alilo litenda majuto mjukuu
 
kweli wanafanana na afande,
sijui sheria sana ila kwa njenje nadhani hakuna kesi hapo unless kama hajaua eneo latukio
kma ni kufumania direct na kuuwa kuna sheria itamlinda sijui sana ila kama akiwa na wakili wa ukweli anawezachomoka:shock:
 
Back
Top Bottom