NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,803
- 637
ma-sredi ya pape nayo!...lol!
Amenukuu story iliyomtokea mtu na sio yeye
ma-sredi ya pape nayo!...lol!
Thibitisha basi kwa kubonya kitufe kule kunako!Paka jimmy katika siku ambazo umenifurahisha ni leo, yaani sina la kuongeza kama bikira imeshatoka imetoka tu, na inaonekana binti analipa ndo maana kaolewa naomba nimpongeze kwa hilo, bibiye huna sababu ya kurudia mawazo ya zamani, usiwe na mitazamo ya katika tamthilia ambayo wazungu wanajidai kwamba eti mtu akiingiliwa kwa nguvu hawezi kusahau tukio hilo na anaathirika kisaikolojia, after all wewe hujabakwa ila anko alitumia ujanja wa kukulewesha kidogo ndo maana akaweza kufanya kitendo hicho, nakuomba achana na mawazo ya ki-tamthilia.
Nanukuu...
Mimi ni msichana (mwanamke) ambaye nimelelewa katika mazingira ya kimaadili na ya kiucha Mungu. Nimevumilia sana kwa miaka mingi lakini sasa naona ninazidi kuchanganyikiwa kiasi cha kutaka kuchukua uamuzi usiofaa!
Miaka ya mwanzoni mwa 1990's tulikuwa tunaishi na mjomba wangu ambaye alinizidi miaka 11. Mimi ni mtoto wa kike wa pekee pia nina mdogo wangu wa kiume. Wazazi wetu sio watu wa kukaa sana nyumbani kwani mara kwa mara walikuwa wanasafiri kwenda ng'ambo kikazi.
Kuna siku moja wakati tumebaki mimi na mjomba wangu hapo nyumbani aliweka muvi ya titanic na tukawa tunaangalia pamoja! Muda kupita alileta vinywaji na tukanywa! Baada ya muda mfupi nikaanza kujisikia kizunguzungu na alianza kunishikashika na kwakuwa nilikuwa sina nguvu alinibeba na kunipeleka chumbani kwake!
Nilikuwa sijiwezi hata kupiga kelele na alifanya kila kitu kisha kunipa Tshs 5000 na kuniambia nisiseme kwa mtu! Baada ya muda nilisikia maumivu sana na niliona aibu kuingiliwa kinyume na mjomba wangu!
Nilitaka kumwambia mdogo wangu lakini niliona aibu. Nilitaka kumwambia mama pia niliona aibu kwani aliyenifanyia ni mdogo wake!
Roho iliniuma sana kwani yeye (mjomba) ndiye aliyenitoa BIKIRA...
Nimevumilia lakini kila nimuonapo nakuwa sina amani na hata kuna wakati nilifikiria suala la kutaka kumuwekea sumu katika chakula ili afe!
Hii hali bado inanitesa sana moyoni kwani hata wazazi wangu hawajui kitu chochote!
Kwasasa nimeolewa na sina amani na ndoa yangu kwani nahisi kama mjomba wangu alinifanyia unyama wa kutisha! Nashawishika kumweleza mume wangu lakini ninaogopa kuharibu ndoa yangu. Sijui mume wangu akijua atanichukuliaje! Wazazi wangu nao wakijua watanichukuliaje?
Ndugu wasomaji hali ndiyo kama hiyo, naomba mnisaidie mawazo yenu je niweke mambo wazi? Je, nitaificha vipi aibu yangu? Je, jamii itanielewa?
Kila siku hali inakuwa ni mbaya kwani nakosa raha na nasikitika kusema kwamba kila mara niwazapo juu ya suala hili huwa ninapata jibu moja tu: kujiua!
Naomba mchango wenu kimawazo!
ma-sredi yake ni mwendo wa konukuu tu.........!Amenukuu story iliyomtokea mtu na sio yeye
ma-sredi yake ni mwendo wa konukuu tu.........!
...Sasa hapa tunatoa mawazo tumsaidie nani? Pape mwenyewe amenukuu!!
Anyway, next time kwa yeyote anayehusika na anayependa kulinda utu wake, aepuke kuwa katika mazingira kama hayo... yani mpo wapweke ndani wawili tu, mlango umefungwa, jinsia ya kike na Kiume, afu mnaangalia Movie, then mnakata wine...
...Sasa hela imekwisha anataka kum-blackmail mjomba wake??alipewa hela ili asiseme kwa mtu
Lipi sasa? maana humu mara nyingi hatufikii Conclusion.Labda Pape ata-copy na ku-paste kwa musika. La sivyo tunatwanga maji kwenye kinu!