Kumbe ndio maana mkuda....watu wa Karume wengi walikuwa "vimatu" na kutoka kanda ya ziwa! LOL
Duh! Mkwawa namba ngapi mzee? miaka hiyo area captain Mkwawa alikuwa Erasto Ngonyani, katibu Kingwala (sio Kingwaba) na Mwl wa kijiji Kuboja...unoko unoko tu na ushindi wa usafi ni lazima. Mvua ikinyesha halafu ukachoma bwenini na viatu, lazima watu wakugombanie....
Unakumbuka "sumu"/pieces/mihogo ya kuchemsha kwa wale wamama pale jirani...!?
Duh! Mkwawa namba ngapi mzee? miaka hiyo area captain Mkwawa alikuwa Erasto Ngonyani, katibu Kingwala (sio Kingwaba) na Mwl wa kijiji Kuboja...unoko unoko tu na ushindi wa usafi ni lazima. Mvua ikinyesha halafu ukachoma bwenini na viatu, lazima watu wakugombanie....
Unakumbuka "sumu"/pieces/mihogo ya kuchemsha kwa wale wamama pale jirani...!?
Erasto ni dokta, Kafura ni dokta, Elangwa nilikutana nae loooooooooooooongtime ma-mid west huko, Ndayo na Ed sijui wapo wapi!! Unamkumbuka yule "Okonkwo," na Giatas (Chris) walikuwa wanakuja sana mitaa ya kati kumtembelea Kafura....
kijana kwa kuzamia minuso hujambo......Namkumbuka Erasto Ngonyani sana tu na ile mihogo ya kuchemsha wakati wa break!! Nilikuwa no. 5 na Diones Majogo, Jonas n.k Namba nne kulikuwa na kina Axel (mwenyekiti wa starehe)..kipindi sana!!
Jamaa huyo kwenye blue, kabla hajapinduka kurudi bongo, nilikuwa nakutana nae kwenye viminuso vya kibongo huko mid west!
Giatas si wakili siku hizi? Mnamkumbuka Ndesa?[/QUOTE]
Machoman ni vigumu kidogo kumsahau........
Taratibu taratibu jamani.....Erasto ni dokta, Kafura ni dokta, Elangwa nilikutana nae loooooooooooooongtime ma-mid west huko, Ndayo na Ed sijui wapo wapi!! Unamkumbuka yule "Okonkwo," na Giatas (Chris), walikuwa wanakuja sana mitaa ya kati kumtembelea Kafura....hiyo ilikuwa late 90's!!
ndayo si yule jamaa mrefu na pua ya kuchongoka alienda PCM Pugu?Erasto ni dokta, Kafura ni dokta, Elangwa nilikutana nae loooooooooooooongtime ma-mid west huko, Ndayo na Ed sijui wapo wapi!! Unamkumbuka yule "Okonkwo," na Giatas (Chris), walikuwa wanakuja sana mitaa ya kati kumtembelea Kafura....hiyo ilikuwa late 90's!!
Dogo Irene celebrity.....punguza munkali kijana wewe mbona uliniita rasta kwa kujifanya unanifahamu.......mimi sipendi sifa kijana kama sifa napenda kwa wazazi wangu basi.Aaaaaah wewe ulivyoweka picha ya Irene Uwoya nani kakwambia taratibu!? Au unadhani wote tumefurahia? Hao washkaji kuna hata mmoja unayemjua na kakulalamikia kuwa jina lake limewekwa hapa au ndio kutaka kwako masifa kama kawaida....??
Unaboa sana...grrrrrrrrrrr!!
Poa wee si dokta muosha huoshwa kama ulifanyiwa ukaki feel kitu basi poaNahisi unataka nikufanyie DRE (digital rectal examination), maana naona unanifuata fuata sana....!! I will siku tukikutana tena bila gloves.....
Mimi nilikuwa hapo 1990-92, Mkwawa.
Bazazi alikuwa Mkwawa no 5 (aka Gaza belt/ white house) 1991/1993 na Kina Bujo , Mangi Ezekiel na wengineo
Bila shaka Wana Mzumbe mpo hapa JF, nimetumwa kuwakumbuka wafuatao John Mongela, James Bwana, Michael Thomas Sebastian Sarota, Hassan Rajab Hassan, Patrick Maleva, Anderson Segereti, David Black, Obed Mwakitalika, Clement Mwashambwa, Kwela Mgaya, Theophil Alexander, Njaule Mdendu, Johnson Jasson, Sollomon Shati, Obed Msenga, Charles Nakembetwa, Gideon Mandesi, Isaac Kassanga, Dereck Kassanga, Deus Changala, Timilai Sheshangali, Shemaghembe Ntulwe, Sainet Katulunga, na wengine wengi sana. Waliosoma pale mmeombwa kuongezea majina ya wale mnaowakumbuka.
hivi ule utaratibu wa kula maharage kila siku bado unaendelea mzumbe au?????maana sie kule ilburu tulikuwa twapata na mbonga za majani,teh teh teh
Kaka wewe umetaja list ya siku nyingi sana hii!!!!
ila kwa miaka ya 2000,sisi tunaweza wakumbuka
Peter Nalitolela,Sunday Dominic,Lusekelo kibona,Rogers Bhalalusesa,Nyantamba,Ungu Ramadhani,Wahab Mohamed.Emil Patrick,Spencer Sanjawa,William Maro,Baraka Daudi,Stephen Kazi,Hamad Juma,Simon Monko,Mathias Monko,Mkata Nyoni,Paschal Magesa,Emmanuel Kimbe,John Sichilima,Alex Kapungu,Wilhad Bilalo,Fredrick Lymo,Moses Kwabi.
ukija kwa Olevel walikuwa vijana balaa pale akina Erick Kabuka,Mathias Monko,Masudi Kisamfu,Stanley Kafu,Latif Amars,Rizik Lameck,Juma Mbega,Frank Andrew Mwakyembe,Idd Davis,David Mwasota,Lusungu wangilisasi,Patrick Sungura,Mafuru Kulwijira na wengine wengi sana miaka ya 2000 hiyo.
walimu wengi walihama shule na kupata Kuwa ma-Head Master shule zingine ila Minja hadi leo yupo.
Wibonele a.k.a Mkombhoti (RIP) alifia Atlanta mwaka 2006.....story zinadai alikuwa na kansa! Maelezo zaidi ni marefu mno, lakini kama una muda piga simu Uzumbeni uongee na Mwl Minja..yeye atakupa story zaidi.
Unamkumbuka Sapila, Fine Art (checkbob na moka zake), Mwl. Amasi, Mwl. Muyenge na mkewe, Mwl Shayo, Mwl. Miyimba wa Agriculture na yule jamaa wa Agroeconomics, Mwl Majumbwa, Mwl. Mpemba na mkewe......
Kideo cha Muyenge kila jumamosi pale dining, form one wanaitwa nguruwe na mambo ya ndabuli (zile bakuli za bati za Tanzania Goverment "TG"). Majina ya kuchekesha kama Mchele Mahela, Machai Namasamaki, Kagari Kamutuka e.t.c......Picnic za Tangeni baada ya ushindi wa usafi na "anasa" za mama Kuboja!! LOL...
Ma-homeboy wanavyogombania kuwa "ma-odali"/"injaji" kule kitchen!! Ugali kwa nguruka (wale samaki wenye chumvi kichizi toka pale gengeni ukipita posta)!! Msee kama mambo safi "menu" kwa Mkombhoti (rip) na baada ya hapo kama mvutaji anakuuzia fegi ya kushushia......