Mji wa Tanzania ambao usafiri wake mkuu ni baiskeli

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,464
8,408
Je unafahamu kuwa nchini Tanzania kuna mji mkongwe ambao usafiri wake mkuu ni baiskeli?

Kwa muda wa miongo mitano sasa, wakazi wake wameendelea kutegemea zaidi usafiri huo ambao unatambua baisikeli za uchukuzi wa umma kwa jina 'daladala'.

Mwandishi wa BBC @lasteck2023 ametembelea mji huo wa Shinyanga uliopo Kaskazini Magharibi mwa Tanzania na kutuandalia taarifa ifuatayo
 
Mwanza na Shinyanga
 
Na ni usafiri salama na wa kuaminika kuliko hawa bodaboda.

Mara ya mwisho niliutumia jijini Mwanza miaka zaidi ya kumi iliyopita pale junction ya "kijereshi" kuelekea soko la Machinjioni-Mhandu.
 
Kumbe😀
Yeah na baiskeli zenyewe ni phoenix yale makubwa sio visehewa vile vya kuendea sokoni.

Mimi huu usafiri sijawahi kuutumia kabisa naona ajabu sana asee.
3.jpg
images (24).jpeg
 
Ungeishi huko labda ungezoea
Yeah maana nilipofika hii kanda first time kuna jamaa ananiambia yupo kwenye daladala anakuja nimsubiri ila daladala sijaona siku nzima nashangaa anafika amepanda baiskeli ndio nikaambiwa hizo ndio daladala.
 
Mimi hapa nimewahi kusafirisha abiria kwa baiskeli enzi hizo kwetu hakuna pikipiki. Yaani kata nzima unakuta pikipiki ni za afisa mifugo tu zile YAMAHA na HONDA XL 125CC sijui.
 
Back
Top Bottom