Mjadala wa katiba mpya ITV; Mnyika, Tambwe Hizza na Dr. Mvungi

Tambwe haropoki. Uwezo wake unakomea hapo. Yaani ni disaster. Never serious.
 
Tambe kaa kimya tumsikilize mnyika mbona mbishi wewe katiba iliundwa na watu wachache
 
Mbunge wangu Mnyika anashusha nondo hapa... Anasema katiba iliyopita haikushirikisha wananchibali iliundwa na bunge (wabunge) huyu mtema upupu anadakia kwamba wabunge ni wawakilishi wa wananchi so wananchi wameshirikishwa....
 
Tambwe anazidi kuongea pumbu eti hakikua kwenye katiba ya ccm kutokana na mapenzi ya jk ndo wakaanzsha mchakato wa katiba huyu kweli chizi
 
Yaani ni full Upupu.... eti wananchi wamewachagua CCM kwa kuwa hawataki katiba mpya. Kwamba wangetaka katiba mpya wangechangia CUF, CHADEMA au vyama vingine vilivyokuwa na issue ya kubadili katiba katika Manifesto zao... Yani jamaa kilaza.... mh!
 
Uelewa wa tambwe ni mdogo kweli anashindwa kujua tofauti ya ukweli na chuki nani anachukia ccm au wanachefua watu wenyewe kwa mambo yao.
 
Yaani jamaa ana boa anabisha vitu vya kitoto... Nahisi wamemleta kuja kupoteza muda tu....
 
jamani natamani kumtusi tambwe.yani anageuza kipindi sehemu ya ubishi!tambwe ni tigo anakera jamani!
 
Yaani ni full Upupu.... eti wananchi wamewachagua CCM kwa kuwa hawataki katiba mpya. Kwamba wangetaka katiba mpya wangechangia CUF, CHADEMA au vyama vingine vilivyokuwa na issue ya kubadili katiba katika Manifesto zao... Yani jamaa kilaza.... mh!
Katika hilo namuona yuko sahihi. Kama wananchi waliipa ushindi CCM na ishu ya katiba mpya si ajenda yao. It means wananchi hawataki katiba mpya. Wakati mwingine tujilaumu kuwa sisi watanzania ni wajinga. Na ninasema with confidence swala la katiba mpya chini ya CCM halitakuwepo.
 
Back
Top Bottom