Mjadala wa katiba mpya ITV; Mnyika, Tambwe Hizza na Dr. Mvungi

Jamani mbona tambwe anaendelea kufutuka tu?? Unene wa aina hiyo siyo kawaida kwa mwanaume mwenye majukumu. Anakula nini huyo mlopokaji??
 
big up mnyika tuelimishe wananchi huo ni mfano wa vijana wa chama namuona tambwe anadesa kwa mnyika kaegesha tumbo tu na anakaribia kupasuka
 
Tambwe Hiza!!Hao itv wametumia kigezo gani kumualika Mtu wa aina hii au swala la KATIBA wanataka kuligeuza kuwa Propoganda?Ndo kazi ya huyu Bwana cjawahi kumsikia akiongea point hata 1tu katika maisha yangu.
 
Tambwe Hiza!!Hao itv wametomia kigezo gani kumualika Mtu wa aina hii au swala la KATIBA wanataka kuligeuza kuwa Propoganda?Ndo kazi ya huyu cjawahi kumsikia akiongea point hata 1tu katika maisha yangu.

tusubiri pumba zaidi
 
Jamani mbona tambwe anaendelea kufutuka tu?? Unene wa aina hiyo siyo kawaida kwa mwanaume mwenye majukumu. Anakula nini huyo mlopokaji??
Mropokaji kwelikweli... Sijui hata anazungumzia nini hapa. Naona anajaribu kudefend badala ya kujenga hoja za msingi. Kanenepeana mpaka akili nayo imejaa mafuta
 
Yaani huyu jamaa anakiri kabisa mbele ya watz wote kwamba katiba ilishirikisha wananchi,anauhakika
 
Jamani wana jf angalieni itv kipindi kipima joto kinaendelea muda huu. Mnyika amejibu hoja za wanaosema watanzania hawaielewi katiba. Anasema wanafuatilia matukio na mapungufu bila ufahamu wa vifungu vya katiba lakini wakiashiria kuwepo mapungufu katika katiba iliyopo.

Tambwe hiza anendelea kutoa upupu
 
Back
Top Bottom