KHEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEMi kwasasa wanosahau kabisaaaaaa. Nachangia ndugu yangu, na mtu ninaefanya nae kazi Idara yangu tu. Aidha, harusi yenye pombe sichangii kabisa, siwezi kuchangia pesa yangu watu wakanywe pombe, ila kama mtu ni wa karibu sana na mimi nitampa zawadi baada ya harusi ambayo ni equivalent to mchango ambao ningeutoa.
Vilevile nawahusia vijana, msipende kuchangiwa harusi, kumbukeni kuwa hayo ni madeni!!! Zitakavoanza kujia kadi mfululizo usilalamike kama na ww ulichangisha watu
Kwa kusisitiza ni kuwa, mimi pia watoto wangu nitawafanyia sherehe kwa kuangalia uwezo wangu, sio kusumbua watu michango isiyo na tija. Nitawakaribisha ndugu na rafiki wa familia yangu, sio kuita watu weengi hata ambao hawana hata uhusiano na familia. Ni upuuzi usio na maana.
Kila mtu yupo huru kuishi atakavyo ndio maana hupangiwi matumizi ya pesa yako. Hata michango ya humu kila mtu anajaribu kuchangia mawazo yake kwa mtizamo wake. Kuna namna nyingi za kushirikiana katika jamii, sio lazima kwa kuchangia sherehe.Hatuishi ndani ya box tunaishi na jamii. Mchango kama watu wanajitolea kuna ubaya gani? Wapo watu wakiambiwa wachange wanakataa hamna kosa ni ombi, kuna wengine wanapenda kuchangia tu utakataa uwaambie sitaki michango yenu?
Mkuu umefunika kwakweliMI NILITOA TANGAZO HAPA OFISINI KUWA WASINILETEE KADI ZA MICHANGO YA HARUSI SITAKI MAANA KWENYE SALARY SLEEP YANGU HAKUNA KIPENGELE CHA MICHANGO YA HARUSI MAANA MTU MDOGO WAKE ANAOLEWA HUKO KISIJU HATA SIMFAHAMU ANANIPITISHIA MCHANGO '
HAPANA NO
sitaki bhana bora waelewe tu kwakweliMkuu umefunika kwakweli
Huu upumbafu ndio siutaki kabisa.,hata kuusikiaBwana harusi anataka harusi ya mil 25
Halafu yeye na familia wana laki 2
Hapa hua nachoka
We mtumishi vipi?. Sijui umekariri hilo neno ama? Unless if you are being sarcastic. Unajua hata yanayofanyika huko kwenye hizo harusi? Pombe, kuopoana, kujionyesha...Wapeni watu vitu kwani kipimo mtoacho ndicho kitakacho pimwa vifuani mwenu kiasi cha kusukwasukwa na kujaa haya aliyasema Bwana Yesu. Pia tusizimie katika kutenda mema maana tutavuna kwa wakati kama tusipozimia mioyo. Mtoa mada moyo wako umezimia unapaswa kubustiwa na Neno la Uzima kutoka kinywani mwa Kristo Yesu. Barikiwa.
Usimpige tu mdau.Mi...amebaki wife kunielewa....dawa yake inachemka na hiyo michango yake
Wapeni watu vitu kwani kipimo mtoacho ndicho kitakacho pimwa vifuani mwenu
Roho ya korosho mbaya sana.
Si lazima kuchanga kiasi kikuzidi lakini changa.
Nchi za ulaya wanachanga kusaidia Africa,
What if hawakuchanga.
Angalia wimbo 'we are the world' wasanii nguli wameimba kusaidia haiti na Ethiopia,waafrica na utajiri wetu na choyo kuchanga hata mia hakuna !
Shame upon all wasiopenda changizo,Mtapimiwa jinsi mnavyopimia wenzenu!
Uchoyo unawasumbua kuna ubaya gani kumchangia rafiki yako wa karibu mchango kutoa ni moyo tu ka hutaki unaacha haulazimishwi sijui mwadai msiba nao si mchango Mara mwingine elimu magu sianatoa elimu bora mfyuuuuu mijitu michoyo bana na maskini wakutaftia sehemu ya matatizo yao kusingizia harusi mbona mibia mwaichikichia
Mi kwasasa wanosahau kabisaaaaaa. Nachangia ndugu yangu, na mtu ninaefanya nae kazi Idara yangu tu. Aidha, harusi yenye pombe sichangii kabisa, siwezi kuchangia pesa yangu watu wakanywe pombe, ila kama mtu ni wa karibu sana na mimi nitampa zawadi baada ya harusi ambayo ni equivalent to mchango ambao ningeutoa.
Vilevile nawahusia vijana, msipende kuchangiwa harusi, kumbukeni kuwa hayo ni madeni!!! Zitakavoanza kujia kadi mfululizo usilalamike kama na ww ulichangisha watu
Kwa kusisitiza ni kuwa, mimi pia watoto wangu nitawafanyia sherehe kwa kuangalia uwezo wangu, sio kusumbua watu michango isiyo na tija. Nitawakaribisha ndugu na rafiki wa familia yangu, sio kuita watu weengi hata ambao hawana hata uhusiano na familia. Ni upuuzi usio na maana.