Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 2,955
- 5,877
Siku zinavyozidi kwenda ni kama ninachoka kutoa michango ya harusi. Lawama zinaongezeka kwangu toka kwa ndugu, jamaa na marafiki wanaohitaji changizo kutoka kwangu- maana kiukweli huwa "ninawatosa". Ifamike pia binafsi sijawahi mchangisha mtu yeyote pesa ya harusi.
je, na ninyi mnapitia hali hii ya kujisikia vibaya baada ya kujulishwa ishu ya kutoa mchango wa sherehe za harusi?
karibuni
je, na ninyi mnapitia hali hii ya kujisikia vibaya baada ya kujulishwa ishu ya kutoa mchango wa sherehe za harusi?
karibuni