Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

Mi nimeweza kwa kujipanga na kipato changu ni kidogo. Vijana tusitishwe na wanaotaja mamilioni ili kujenga nyumba. Hii inakaribia kuisha na sijafikisha hata m 20!

Hapo ulipofika mkuu ndo kama unaanza! nyumba nyingi zimeishia hapo miaka nenda rud wahusika wamezikimbia isitoshe hilo bado linaitwa boma sio nyumba!
 
Unajua dirisha la aluminium complete haipungui kilo 3 una dilisha 11 mlango mzuri mninga 250000 ceiling gypsum kwa nyumba yako hyo makadilio M 3.5 tiles bado Mabomba mziki wake usikie tu bado shimo la Maji taka bado Fundi hajaimba cement name
Gypsum powder kaka hapo bado sana wiring nilisahau

Huyo bado naona ni mgeni katika ujenzi hiyo huwez sema inakaribia kuisha! alafu garama kuifikisha hapo mbona umeibiwa sana? ukizingatia nyumba yako inaonekana ndogo sana!
 
Wakuu mimi naomba kuuliza gharama za skimming kwa chumba cha 144 square feets. Nitazidisha mara idadi ya vyumba Ili iweze kunisaidia kufanya makadirio ya gharama yote ya skimming.

Pia nipongeze michango mingi muhimu iliyopo katika uzi huu! Ni zaidi ya darasa!
 
Naomba kufahamishwa, kujenga msingi kwa kutumia mawe na wa matofali matupu upi una ghalama zaidi?
 
Naomba kufahamishwa, kujenga msingi kwa kutumia mawe na wa matofali matupu upi una ghalama zaidi?

Inategemea mawe unayatoa wapi.. Kama yanapatikana karibu na kirahisi, basi ni gharama nafuu kuliko tofali...
 
BUSIMINET COMPANY LIMITED
Po.box 12659
Kinondoni-Dar es salaam

Tanzania
Mob: 07 65 90 10 93 / 06 58 12 31 58
E-mail: busiminet@gmail.com
Website: busiminet.blogspot.com
OUR SERVICES: Tax, Business, IT, Accounting &Bookkeeping and Other services
TAX
1.Assist in preparation and submission of Returns to TRA
2.
Assist in estimation and determination of tax liabilities.
3.Online Returns submission and Payment Registration with TRA.
4.
Assist in Tax Payment processing.
5.Reminding about due dates for Tax payment and Other Tax/Statutory compliance.
6.
Tax health-checks
7.
Processing transfer or change of ownership with TRA
8.
Assist in filing and submission of TRA forms.
9.
Assist in Applications for Requesting Tax exemption.
10.
Tax consultation and advisory.
BUSINESS

1.
Assist in business licenses registration with municipals, ministries and other Government bodies.
2. Assist in business name, NGO’s, Succoss and Company registration with BRELA.
3.
Preparation of Business Proposal, Constitution, Memorandum, Article of Association and Company Profile

4.Preparation of business plans
5.
Business Restructuring
6.Loan processing
7
.
Business consultations
8.
Preparation of Research proposals

IT AND RELATED SERVICES
GRAPHIC DESIGN
1.
Logo,Bill boards, Posters.
2.
Business cards, Identity cards (ID).
3.
Brochures Flyers, Invitation cards.
4.
Calendar,Product label Magazines
5.
Photo Editing and Retouching Special Envelope, Movie covers
6.
Website, Blogs and Systemdesign and development
7.
Computer maintenance
8.
Computer software installation
9.
Network designing and installation
10.CCTV installation
11.
AC installation and maintenance

ACCOUNTING AND BOOK-KEEPING SERVICES
1.Stock counting
2.
Preparation of bank reconciliations
3.
Preparation of annual financial statements complying with International Financial Reporting Standards.

4.Posting of financial transactions from source documents , (IFRS).
5.
Preparation of budgets and management reports.
6.
Payroll services (preparation of the payroll including pay slips)
7.
How to keep books of account

OTHER SERVICES
1.
Mining
2.
Marketing and advertisement
3.
Education
4.
Agricultural activities
5.
Gas activities
6.
Cargo clearing
7.
Legal consultancy
8.
Staff recruitment & Out-Sourcing
9.
Project management and analysis
10. Training and workshops to Enterpreneurs, scholars and other groups that need to excel in their business

Business in the smooth environment ensures growth

okoa muda,okoa pesa na kuza biashara yako kwakuhudumiwa na Busiminet co.ltd

jamani naomba kujua kutoka kwa wadau, maana bado nafikiria kati mambo mawili ni lipi bora kati ya kununua nyumba zilizo katika miradi ya taasisi kama NHC, NSSF nk. au bora kujenga, maana shida ninayoipata bei zinazotajwa humu za ujenzi zinawiana na bei za nyumba zinazouzwa, na la msingi maeneo nyumba hizi zinapouzwa yamewekewa huduma za msingi kutofautisha na pale mtu anapotaka kujenga unapata usumbufu mkubwa kuanzia kupata kiwanja,katika eneo ambalo ni zuri halafu inakuja ishu ya madalali. yaani lazima madalali wakuumize, ukitoka hapo kuanza ujenzi kama huna fundi mzuri wanaiba vifaa na kujenga chini ya kiwango.hivyo ni bora kununua nyumba ingawa nao bei zao ni noumaa! kimsingi serikali ingepunguza kodi ya manunuzi tungekuwa na miji yenye master plans nzuri na utunzaji wa mazingira ungekuwa rahisi, na pia taswira na mandhari ya mji yangependeza sana.
 
Mkuu be careful!

Utafiti umeonyesha kuwa nyumba nyingi zilizojengwa na "wenyewe" hapa mjini DSM hazina ubora na umadhubuti unao kidhi matumizi ya binaadam.

Watu wengi wanapenda kujenga kwa bei ya chini wakiamini kuwa mradi paa lipo basi usingizi hawakosi.

Matofali karibu yote yanayouzwa mitaani, ukiyakemea yanalala mbele!

Zege linalochanganywa katika nyumba nyingi ni hafifu kabisa, sementi finyu, mchanga mchafu, kokoto ubuyu/chafu, mwishowe zege ukilipiga nyundo moja linasambaratika.

Katika nyumba zilizodondoka hapa mjini DAR , ZOTE NI ZA WATU BINAFSI,hata ile ya ghorofa 10!

Na wote hawa hawakuwatumia wataalam.

Bahati mbaya sana watu wanaidharau sana hii fani ya ujenzi, na baadaye kuishia majuto mjukuu.

Mkuu kama umejenga kwa 15mil nyumba ya 3/4/5 bedroom basi hongera, katika miaka 10-15 ijayo jitayarishe na hela hizo hizo kwa matengenezo na ukarabati(kama El Nino haijakupitia).
nini elnino? yenyewe bila kuguswa inararuka! bro angu alinunua plot maeneo ya mbezi makabe,kulekuna dongo finyanzi,nilimshauri awaone wataalama wamshauri namna ya ujenzi kwa mazingira yale hakunisikiliza akawatumia wapanga matofali wamitaani.
Baada yaujenzi kwisha ilimchukua miaka miwili kuhamia ,yaani ni repair kila sehemu nyumba imechanika chanika kama kibwaya cha kizaramo!gharama zikawa kubwa kuliko makisio kama angeijenga kwa kuwatumia washuleshule!
 
BUSIMINET COMPANY LIMITED
Po.box 12659
Kinondoni-Dar es salaam

Tanzania
Mob: 07 65 90 10 93 / 06 58 12 31 58
E-mail: busiminet@gmail.com
Website: busiminet.blogspot.com
OUR SERVICES: Tax, Business, IT, Accounting &Bookkeeping and Other services
TAX
1.Assist in preparation and submission of Returns to TRA
2.
Assist in estimation and determination of tax liabilities.
3.Online Returns submission and Payment Registration with TRA.
4.
Assist in Tax Payment processing.
5.Reminding about due dates for Tax payment and Other Tax/Statutory compliance.
6.
Tax health-checks
7.
Processing transfer or change of ownership with TRA
8.
Assist in filing and submission of TRA forms.
9.
Assist in Applications for Requesting Tax exemption.
10.
Tax consultation and advisory.
BUSINESS

1.
Assist in business licenses registration with municipals, ministries and other Government bodies.
2. Assist in business name, NGO's, Succoss and Company registration with BRELA.
3.
Preparation of Business Proposal, Constitution, Memorandum, Article of Association and Company Profile

4.Preparation of business plans
5.
Business Restructuring
6.Loan processing
7
.
Business consultations
8.
Preparation of Research proposals

IT AND RELATED SERVICES
GRAPHIC DESIGN
1.
Logo,Bill boards, Posters.
2.
Business cards, Identity cards (ID).
3.
Brochures Flyers, Invitation cards.
4.
Calendar,Product label Magazines
5.
Photo Editing and Retouching Special Envelope, Movie covers
6.
Website, Blogs and Systemdesign and development
7.
Computer maintenance
8.
Computer software installation
9.
Network designing and installation
10.CCTV installation
11.
AC installation and maintenance

ACCOUNTING AND BOOK-KEEPING SERVICES
1.Stock counting
2.
Preparation of bank reconciliations
3.
Preparation of annual financial statements complying with International Financial Reporting Standards.

4.Posting of financial transactions from source documents , (IFRS).
5.
Preparation of budgets and management reports.
6.
Payroll services (preparation of the payroll including pay slips)
7.
How to keep books of account

OTHER SERVICES
1.
Mining
2.
Marketing and advertisement
3.
Education
4.
Agricultural activities
5.
Gas activities
6.
Cargo clearing
7.
Legal consultancy
8.
Staff recruitment & Out-Sourcing
9.
Project management and analysis
10. Training and workshops to Enterpreneurs, scholars and other groups that need to excel in their business

Business in the smooth environment ensures growth

okoa muda,okoa pesa na kuza biashara yako kwakuhudumiwa na Busiminet co.ltd

Mkuu, sisi wafuatiliaji wa hii THREAD unatusaidiaje kupunguza gharama za ujenzi?

nahisi hili tangazo lako ungelifungilia thread yake.
 
ipo location gani mkuu,usikute umeijenga mavurunza au kwembe!!!! Hongera pia kiongozi.
 
iyo nyumba bado sana kuisha. yani hapo ndo kama ngoma inaanza. finishing ya nyumba ndio balaa andaa 20 nyingine hapo
 
kimaus kwanza hongea na kisha komaa utamaliza.. safari moja huanzisha nyingine...safari ya kunyanyua na kupaua huanzisha safari ya kumalizia, keep it up
Mi nimeweza kwa kujipanga na kipato changu ni kidogo. Vijana tusitishwe na wanaotaja mamilioni ili kujenga nyumba. Hii inakaribia kuisha na sijafikisha hata m 20!
 
Hongera sana mkuu. kitu cha ukakina ni kuwa haujapima kiwanja chako ili uweze kupata hati miliki. niPM ili nikushauri jinsi ya kupima kiwanja chako na ukiridhia tukipime kabisa uoate hati.

Mkuu hebu weka maelezo zaidi au ni pm contact zako.
 
Exactly@Preta,hata km ni kibanda kinachoweza kupigwa teke na kuku ila aliyejenga bwana lazima aheshimiwe..binafsi hata ukimiliki range na vogue ila km nyumba huna sijui nakuonaje yani..thumb up mkuu..kikubwa cha kutambua ni kuwa ujenzi si wa siku moja..hata roma ilijengwa kwa miaka 40,mdogo mdogo ila kwa plan na mikakati inawezekana.

Hiyo sehemu niliyoweka bold, ni miaka arubaini au mia nne?
 
Back
Top Bottom