Mi nimeweza kwa kujipanga na kipato changu ni kidogo. Vijana tusitishwe na wanaotaja mamilioni ili kujenga nyumba. Hii inakaribia kuisha na sijafikisha hata m 20!
Hapo ulipofika mkuu ndo kama unaanza! nyumba nyingi zimeishia hapo miaka nenda rud wahusika wamezikimbia isitoshe hilo bado linaitwa boma sio nyumba!