Misemo hii kiboko...weka ya kwako...!

Clouds FM wana misemo yao kupitia kwa kina Dina Marios ukisikia matangazo yale ya kanga moja, au kipindi cha asubuhi Bonge anapomalizia huwa anatoa msemo. Na yote hiyo nimewahi kuisikia huko!

Mimi hiyo redio ya wafu huwa siisikilizi sikuhizi.
 
1.Mshindo wa mguu wa Tembo hauwezi kumuua sisimizi.
2.Hata beberu naye ana sharubu!
 
Mmeusahau msemo huu: "Ukitaka kucheka, ingia JF"

Yaani, nimecheka sana!!
 
Back
Top Bottom