Misemo hii kiboko...weka ya kwako...!

Ngoma ikilia sana hupasuka

Heri kulala juu ya dari kuliko kuliko kukaa mwanamke mgomvi.

Ni heri kula mboga za majani kwa amani kuliko nyama iliyonona kwa ugomvi.
 
1. Matunda hayapikwi
2.Msaada hauna risiti
3.Hodi ya chooni haijibiwi
4.Mashindano ya umiss hayafanyiki gizani.
5.Ndimu changa haina maji
6.

Hii yote ni ya kugandamizia Clouds!!!

Plus:-
1. Gari linalovutwa haliovateki
2. Choo cha treni hakina chemba
3. Mwanamke hasingiziwi mtoto
4. Umeme wa treni sio wa tanesco
5. Msiba wa kichina haukuhusu
 
1.Ukiona manyoya,jua kaliwa
2.Kuchamba kwingi kuondoka na mavi
 
Clouds FM wana misemo yao kupitia kwa kina Dina Marios ukisikia matangazo yale ya kanga moja, au kipindi cha asubuhi Bonge anapomalizia huwa anatoa msemo. Na yote hiyo nimewahi kuisikia huko!
ahaaaa...sasa nimekuelewa...lkn huenda pia hao clouds wanaitoa hiyo misemo kwa hao waloitaja....
 
Duh! hii pia ipo!!...
1.mateso ya uzeeni uzembe wa ujanani
2.yatima hadeki
3.hasira huongeza maumivu
4.ukisikia camerun (uk)ujue.....
5.yatima hachagui malezi
 
ndizi haitoi tui
honi haifungui geti
gari la kukokotwa haliovateki
mwenye meno hatumii nguvu
mwanamke nyonga makalio majaliwa
mwanaume ........sauti majaliwa
 
1. CCM si mama yako
2. Sijakutana naye barabarani
3. Chawa habagui mchafu
4. Pilipili haionjwi
5. Mnamsifia kwa vile mabaya yake mmeyaficha
6. Simba kala nyasi
7. Manchesita, Arsenane, Chelstano n.k............
 
Back
Top Bottom