babu M
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 5,221
- 3,167
Kikwete akifanya hivyo itakula kwake-Chadema wakikataa hiyo offer na kuwavua uwanachama wale vinganganizi, itasaidi kupunguza migogoro ndani ya Chadema na uongozi kufanya mambo kwa pamoja na kwakuaminiana.
Kwa upande wa wananchi kitajenga imani kwamba wanamsimamo
Kwa upande wa wananchi kitajenga imani kwamba wanamsimamo