The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,896
@AshaDii
Tunu amekuwa low profile mno, sasa waandaaji naona waliona akitaja jina lake tu watu hawatamfahamu! Sidhani kama Salma anahitaji kukumbusha umma kuwa yeye ni Mke wa Raisi.
As Boss said, kosa la waandaaji.
sio tu low profile but kapooza sana....wanawake wa mjini wanaita 'kupwaya'
hata mavazi yake yako kama mke wa mkulima per se na sio mke wa the third most powerfull person in TZ...
mimi najiuliza ingekuwaje mtu akiwa Rais au Waziri mkuu apewe nafasi ya
kuchagua 'mke upya'?
jinsi wanawake wangejitokeza kugombea hiyo title ya 'mke wa waziri mkuu'
wanawake wa mjini probably wanasema dah 'penye miti hakuna wajenzi'...
sipati picha Ashadii au Kaunga kesho anakuwa 'mke wa waziri mkuu'
patakuwa hapatoshi kwa mbwembwe lol