Mimi Tunu Pinda; Mke wa Waziri Mkuu!

Hahahahahahahahah.....

The Boss wewe kwa vituko sikuwezi.....!!

Umenikumbusha dada mmoja ambaye alinambia enzi zile Joe Kabila alipokwaa madaraka, kwamba akiitwa Kishasha siku hiyo anavunja ndoa!!!

Halafu unakumbuka tetesi kwamba Komondoo alikimbia Moshi kubeba mzigo baada ya kuambiwa kuwa kapera hawezi kuruhusiwa kuingia Ikulu??

Babu DC!!

he he hee DC hawa wanawake na 'title'
ndo maana Mswati akisema hata aje hapa TZ kuchagua
utashangaa watakaojitokeza na vibwaya....
hatutaamini macho yetu lol
 
The Boss bwana..hiyo itakuwa in the phantom title aisee.....

Inanoga kama ni real, ukizingatia mtu mwenyewe ndo hivyo keshamaliza shea yake ya chumvi!!

:focus:

Watu wengi tuna matatizo makubwa katika kujitambulisha.....Ni kawaida sana kusikia mtu anasema kuwa "Mimi naitwa Prof. au Dr DC. tena bila aibu!!!

Au kama anavyoandika mdau mmoja.....Dr DC. BSc (Hons), MSc (Hons), PhD......!!

Mie naona ni ama kutojua au ulimbukeni na kujaa misifa!!

By Dr. Babu DC, MD, LLB, LLM, PhD!!!! (hapo lazima watu mtoe standing ovation)!!!

kuna mmoja alinipa bussiness card vyeo vyote hivyo
na 'mjumbe wa mkutano mkuu ccm' nilibaki mdomo wazi lol
 
KATIBA YA TZ waziri mkuu wetu hana mke; na kuwa mke wa waziri mkuu au rais sio cheo KOMENI MARA MOJA.

Waziri mkuu au Rais ni wadhifa hauna mke. NI ELIMU NDOGO kwenda kwenye TV usemi mimi mke wa Rais au PM. Ndo maana huwa hatuwaulizi wake zao wanaelimu gani wakati wakigombea Urais, maana haituhusu ni mambo binafsi sana. Lakini utashangaa ikulu na watu wote tuanowalipa kodi zetu wanafanya makosa haya kwa kuwaruhusu hawa wanawake kutumia miili yao kama cheo.
 
Mmh! Kaunga!! Mwache mama wa watu!!
Lakini mume wake ni Mizengo Pinda; si Waziri Mkuu! Anavyojieleza ni as if yuko proud na title ya mumewe zaidi ya jina la mumewe! Ameona akitaja Mizengo Pinda haibebi uzito kama title; n to me that is not kuwa proud na mumewe as a human being!
 
Mkuu Kaunga, Na mimi nilishtushwa sana utambulisho wa mama huyo.

Kuna mmoja amemtetea anasema kuwa wenye makosa ni wale waliomuandalia tangazo hilo, binafsi hili sikubaliani nalo, ninachojua mimi kama kuna jambo unatakiwa kuwa makini katika mahusiano basi namna unavyomtambulisha mwenzi wako kwa jamii.

Bahati mbaya sana kuna baadhi wakiona jinsi ulivyochambua kosa alilolifanya Mrs. Pinda katika post hii (#20) watakuona kompliketa.

Ahsante sana Kaunga kwa kuliweka hadharani hili.
 
wanaume kama wanawake... sijui mnabishana nini????? I dont see any logic? ujumbe umefika au haujafika? halafu eti mnalalamika hatuna maendeleo. mmekaa mnaandika upuuzi badala ya kufanya mmabo ya maana
 
Nilitaka kupita mara nikakusoma! Yaani wewe na wengine wote walio comment kabla yako hamna tofauti maana na wewe badala ya kufanya mambo ya maana umepoteza muda kusoma comments zao na ukagundua ni za "kipuuzi". Ungejipitia zako kimya tu!
 
Kama anataka kusema kitu kwa niaba ya mumewe na anataka watu waelewe kwamba si mtu baki tu, ni mke anayeongea, inahusika hiyo.
 
I will try"JUSTto Answer you."
MAMA TUNU PINDA???
Kwani ni nani Huyu!!
1.Ni MWANAMKE.
Wanawake wengi DUNIANI wana Asili ya Kupenda Kusifiwa na Hili linaweza kuthibitishwa Kisayansi kama ifuatavyo:
1:TENDO LA NDOA.
Hapa huwa ni kazi Ngumu Kumridhisha MWANAMKE(Haijalishi ni CHIZI au TUNU PINDA).
Hili lina sababu nyingi,lakini kwa uchache Tu ni kuwa wakati mwanaume anaingia kazini MOJA KWA MOJA,mke anahtaji njia ya mzunguko.
2:MKE WA WAZIRI MKUU.
Hapa inajulikana wazi kuwa HAIJALISHI JINSIA bali kwa vyovyote vile viongozi WOTE ni walevi wa SIFA.
.HIVYO kimsingi nampongeza MAMA TUNU PINDA!
 
Back
Top Bottom