Mimi Tunu Pinda; Mke wa Waziri Mkuu!

haaa haaa haa na mimi niliona hiyo...
makosa sio yake
makosa ya walio andaa lile tangazo
alipaswa kujitambulisha tu yeye mwwenyewe
halafu chini kukawapo na maandishi ya kumtambulisha mke wa nani...
kama walitaka kutumia hiyi 'title' kupeleka ujumbe

all in all haijakaa sawa but then again huwezi kumlaumu sana
aliombwa tu asaidie hao chaneta kuchangisha pesa.....

by the way wewe hujitambulishi hiyo title yako ya mke wa 'mjumbe wa nyumba kumi'??????lol
 
Mimi Kaunga Boss, small house wa JF- MMU King of 2011! LOL

Umeona hiyo, kwanini asijitaje tu yeye ni Tunu Pinda; n she is married to the title sio hata Mizengo Pinda!

Moja ya weaknesses kubwa sana nchini kwetu ni watu kushindwa kujieleza ama kueleza jambo kwa ufasaha. Na kuchukulia kua maadamu unajua kuongea basi inatosha kua kigezo kusimama mbele za watu; huku the person in question akiwa amenyimwa utambuzi kua ni lazima aangalie audience, analoongea na kwa malengo gani anaongea. Naona aliitumia kama teknik watu wawe more attentive ni kumsikiliza nini anataka kusema....
 
@the boss, angalia hapo juu nishajitambulisha!

nimeona lol
trust me
ukijitambulisha like that utapata michango miingi kuliko huyu Tunu
unaweza kuchangisha pesa ya kutosha humu kuweka mabomba ya maji kigoma yoote
wewe tumia hiyo title vizuru utashangaa lol
 
BTW Ki mantiki kama wewe ni mke wa mkubwa ni lazima utataka ustress position yako katika jamii... Kua mimi ndio mke wa Fulani. However that requires intelligence, kujulikana kua ni mke wa nani kwa kuitamka hasa kama mumeo ni Mkubwa na amekua katika uongozi more than four years; na bado hujulikani. Ina maana hutumii nafasi yako ipasavo kuweza gusa jamii husika.... Hivo you are not worth knowing....
 
angeenda kutafuta 'TUITION' kwa Ester Sumaye....lol
 
If you are proud of your husband ..yes you must! This lady look so down to the earth ,keep low profile ,interact with people -she has what so called interpersonal skills.....if you just know how to read picture and to see more that what eyes can see.
 
angeenda kutafuta 'TUITION' kwa Ester Sumaye....lol

Hebu kabla sijampa ushauri huo nipe wasifu wake.... Huyo mwana mama nilikua simfahamu nimelisoma tu jina lake bahati mbaya mahala na kilichonifanya nikumbuke ni sababu nilijiuliza kama ndio the wife wa Sumaye...
 
@AshaDii
Tunu amekuwa low profile mno, sasa waandaaji naona waliona akitaja jina lake tu watu hawatamfahamu! Sidhani kama Salma anahitaji kukumbusha umma kuwa yeye ni Mke wa Raisi.

As Boss said, kosa la waandaaji.
 
Hebu kabla sijampa ushauri huo nipe wasifu wake.... Huyo mwana mama nilikua simfahamu nimelisoma tu jina lake bahati mbaya mahala na kilichonifanya nikumbuke ni sababu nilijiuliza kama ndio the wife wa Sumaye...

alikuwa na Anna Mkapa
wote wachaga....but alikuwa anaonekana more confident one
kwenye chama chao cha kusaidia wanawake na 'kujiwezesha wao wenyewe' lol
 
Tunapowabadilisha wanawake majina na kumuita "Tunu Pinda" ni lazima akitoa introduction yake awafahamishe watu kwamba "Pinda" sio baba yake. Simlaumu, ni matokeo ya mfumo dume.
 
If you are proud of your husband ..yes you must! This lady look so down to the earth ,keep low profile ,interact with people -she has what so called interpersonal skills.....if you just know how to read picture and to see more that what eyes can see.

Lakini mume wake ni Mizengo Pinda; si Waziri Mkuu! Anavyojieleza ni as if yuko proud na title ya mumewe zaidi ya jina la mumewe! Ameona akitaja Mizengo Pinda haibebi uzito kama title; n to me that is not kuwa proud na mumewe as a human being!
 
Back
Top Bottom