Mimi ni mtumishi wa umma, kuna uwezekano wa kusoma kozi tofauti na kada niliyopo?

FundiNgoma

Senior Member
Dec 26, 2019
132
264
Wakubwa shikamooni wadogo zangu habari zenu...

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi ni mtumishi wa umma kada ya ualimu nimejiendeleza kielimu kwa sasa nahitaji kujiunga na masomo ngazi ya shahada ila natamani kusoma shahada ya mawasiliano ya umma (mass communication), jambo lililonileta kwenu wanajamvi ni kwamba Je? Kuna uwezekano wa kusoma hiyo kozi nikiwa bado kazini (open university) au campus? Kwa maana ni tofauti na kada niliyopo.

Na je baada ya kupata shahada yangu ni nini ntapaswa kufanya kwa mwajiri wangu? Na mengine mengi yanayofanana na hayo.

Msaada tafadhali maana natamani sana kutimiza ndoto zangu...
 
Shukrani sana Niulize jambo lingine tena ,
Baada ya kuhitimu naweza badilishiwa kazi na mwajiri kutoka ualimu kwenda kozi hiyo niliyosoma?
Recategorization inawezekana kwenye utumishi wa umma. Changamoto ipo kupata ruhusa ya kwenda masomoni kama ni chuo unaenda kusoma full time kwa mwajiri inakuwa haina tija.

Kwanza niulize unataka kusoma course ya mass communication ili ufanye kazi gani hapo halmashauri baada ya kuhitimu? Je kuna uhitaji wa wataalamu wa mass communication hapo halmashauri ?
Ukishajua hilo itakusaidia kusoma kozi sahihi
 
Wakubwa shikamooni wadogo zangu habari zenu...

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi ni mtumishi wa umma kada ya ualimu nimejiendeleza kielimu kwa sasa nahitaji kujiunga na masomo ngazi ya shahada ila natamani kusoma shahada ya mawasiliano ya umma (mass communication), jambo lililonileta kwenu wanajamvi ni kwamba Je? Kuna uwezekano wa kusoma hiyo kozi nikiwa bado kazini (open university) au campus? Kwa maana ni tofauti na kada niliyopo.

Na je baada ya kupata shahada yangu ni nini ntapaswa kufanya kwa mwajiri wangu? Na mengine mengi yanayofanana na hayo.

Msaada tafadhali maana natamani sana kutimiza ndoto zangu...
Timiza ndoto zako tu ndg. Kila lakheri
 
Mimi ni mtumishi wa umma naomba kuuliza je ninaweza kusoma kozi tofauti na kada niliyopo?
 
Inawezekana Mzee baba fanya hivi...

Kama DEO ni mtu wa kubana na unalijua hilo basi, apply chuo chenye education then pata join instruction yake, au itafute tu join instruction bila kuapply.
Halafu peleka kazini wakupe ruhusa.

Ukifika mjini nenda chuo unachotaka na kasome course uliyotaka.

Maana hautoulizwa matokeo Wala nini.

Ila upige kimya usimwambie binadamu yeyotee wa Halmashauri yako.

Halafu ukimaliza peleka vyeti Utumishi subiri RECATEGORIZATION.

#YNWA
 
Siri itatunzwa? Maana asiposema yeye kuna viherehere wanaomwona akisoma wanaweza ropoka
 
Mi nilipata ruhusa ya kwenda kusoma UDSM ila nilipenda sanaa masomo ya biashara, hivyo nikachepuka kwenda chuo kengine.

1. Nilikuwa sipokei simu kirahisi, na ukipita ukiuliza "uko wapi?" Sijibu..
2. Nilikua msiri sanaa, hata chuoni hawakujua kuwa mimi ni inservice.
3. Kazini walikuja kushtuka narudisha cheti cha masters na bachelor, badala ya bachelor pekee yake.

Mkuu wa Idara alishangaa sanaa, ila ndio hivyo nilikua nishampiga tobooo.

Ndiyo mbinu zitakiwazo..!!! Shida wengine wanasoma huku wakitaka wajulikane wapo VERCITY college fulani..! AU wakati mwingine marafiki
 
Mi nilipata ruhusa ya kwenda kusoma UDSM ila nilipenda sanaa masomo ya biashara, hivyo nikachepuka kwenda chuo kengine.

1. Nilikuwa sipokei simu kirahisi, na ukipita ukiuliza "uko wapi?" Sijibu..
2. Nilikua msiri sanaa, hata chuoni hawakujua kuwa mimi ni inservice.
3. Kazini walikuja kushtuka narudisha cheti cha masters na bachelor, badala ya bachelor pekee yake.

Mkuu wa Idara alishangaa sanaa, ila ndio hivyo nilikua nishampiga tobooo.

#YNWA
Uliwezaje kupiga bachelor na masters kwa pamoja mkuu nipe mbinu
 
Back
Top Bottom