Mimi ni msichana, natafuta mchumba

Mimi ni msichana,umri wangu ni miaka 25,nafanya kazi shirika binafsi, elimu yangu ni chuo kikuu, natafuta mchumba sijagui kabila wala rangi,awe na umri kuanzia miaka 28-33,elimu chuo kikuu,pm please
ok, nichek kwa simu yangu
 
Mimi ni msichana,umri wangu ni miaka 25,nafanya kazi shirika binafsi, elimu yangu ni chuo kikuu, natafuta mchumba sijagui kabila wala rangi,awe na umri kuanzia miaka 28-33,elimu chuo kikuu,pm please
Ni pm tufahamiane kwanza
 
Mimi ni msichana,umri wangu ni miaka 25,nafanya kazi shirika binafsi, elimu yangu ni chuo kikuu, natafuta mchumba sijagui kabila wala rangi,awe na umri kuanzia miaka 28-33,elimu chuo kikuu,pm please
mambo
 
Sasa hapo tu ndo huwa mnaniacha hoi!
Kila msichana anataka mme msomi!
Sasa sisi tuliokosaga elimu tutamwoa nani?
By the way ngoja nijaribu bahati yangu kwako!
Mimi umri 32 Yrs
Nimejiajiri
Elimu yangu Darasa la 7 na cheti cha kuhitimu kipo ukikihitaji.
Sasa je?
Je! Nitakufaa je?
Au je?
Utanikubari je?
 
Natafuta girlfriend umri 18 hadi 25, awe mbeya, Mimi nko single , mwanafunzi wa degree ya kwanza, watsapp no. 0625706674
 
bibie inaonesha huna bahati ya kupata mume, nashangaa kuona wasichana kama wewe wanapata tabu, vipi kuhusu dini?
 
Mimi ni msichana,umri wangu ni miaka 25,nafanya kazi shirika binafsi, elimu yangu ni chuo kikuu, natafuta mchumba sijagui kabila wala rangi,awe na umri kuanzia miaka 28-33,elimu chuo kikuu,pm please

Mateso kwenye ndoa mnajitakiaga wenyewe Tu!
Siku ukibadilikiwa ulitafuta elim uwe mpole Tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom