Mimi natafuta mchumba nipo serious

Sasa inakuuma vipi wakati aliyetoa tangazo hata sura tuu hujamuona usikute anasura ya babu yake alafu anataka handisamu
Yaani unajua ni kama job seeker unapoona hauna sifa hata ya kazi unazoziona za kawaida lazima roho ikuume
 
Kweli na tafuta mchumba serious nimekuwa mtu mzima nahitaji familia
Vigezo serious awe handsome wa kiasi .
Awe 32 -40
Awe hajawahi kupata mtoto kokote.
Awe anafanya kazi kaajiriwa .
Elimu Anizidi mimi na Diploma .
Awe mweupe au maji yakunde awe mrefu wastani.
Asiwe mzubavu awe anachangamkia maisha .
Sipendi mtu mkimya sana nasipendi wambeya .
Akiwa arusha ni raha zaidi.
Kama ni mikoa mingine awe anauwezo wakuja Arusha.
Asiwe mchungu .
Na asiwe mchoyo na asipende kuweka siri .
Jingine asiwe mlevi ., awe anahofu ya Mungu.
Awe mkristo ila asiwe anasali kwenye makanisa ya kilokole nataka haya makanisa yanayotambulika , katoliki , lutheran , anglikana ila haya makanisa yasiotambulika awali hapana.
Nipewa hii na ndugu yangu nisaidie kupost yeye ana 30 sitaki midomo .
Kalale .
mmmh huyo mtu kwa kukusaidia chukua udongo ubumbe mwenyew
 
Hivi kwa umri wa miaka 32-40 mwanaume asiwe amepata mtoto huoni mitambo ina hitilafu kwanza utamilikije silaha ndani isiyofanyiwa jaribio?
 
Kweli na tafuta mchumba serious nimekuwa mtu mzima nahitaji familia
Vigezo serious awe handsome wa kiasi .
Awe 32 -40
Awe hajawahi kupata mtoto kokote.
Awe anafanya kazi kaajiriwa .
Elimu Anizidi mimi na Diploma .
Awe mweupe au maji yakunde awe mrefu wastani.
Asiwe mzubavu awe anachangamkia maisha .
Sipendi mtu mkimya sana nasipendi wambeya .
Akiwa arusha ni raha zaidi.
Kama ni mikoa mingine awe anauwezo wakuja Arusha.
Asiwe mchungu .
Na asiwe mchoyo na asipende kuweka siri .
Jingine asiwe mlevi ., awe anahofu ya Mungu.
Awe mkristo ila asiwe anasali kwenye makanisa ya kilokole nataka haya makanisa yanayotambulika , katoliki , lutheran , anglikana ila haya makanisa yasiotambulika awali hapana.
Nipewa hii na ndugu yangu nisaidie kupost yeye ana 30 sitaki midomo .
Kalale .
Unatafuta wanaume wengi kwa wakati mmoja,,,
1,handsome
2,Msomi
3,Asiwe bahili

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Woudaa mamlidee! Niko fasi za Ngarna hapa bakta na mavigezo ooote niko nayo. Fanya niachia hizo madigits fasi ya PM nikusarandie moro mida flani utasikia ng'ora inakuita tuyajefenge mamlide hapa umepata chalii OG ya gachustan.
Duh, asa hapa ndio umesema nini!!!!
 
Kweli na tafuta mchumba serious nimekuwa mtu mzima nahitaji familia
Vigezo serious awe handsome wa kiasi .
Awe 32 -40
Awe hajawahi kupata mtoto kokote.
Awe anafanya kazi kaajiriwa .
Elimu Anizidi mimi na Diploma .
Awe mweupe au maji yakunde awe mrefu wastani.
Asiwe mzubavu awe anachangamkia maisha .
Sipendi mtu mkimya sana nasipendi wambeya .
Akiwa arusha ni raha zaidi.
Kama ni mikoa mingine awe anauwezo wakuja Arusha.
Asiwe mchungu .
Na asiwe mchoyo na asipende kuweka siri .
Jingine asiwe mlevi ., awe anahofu ya Mungu.
Awe mkristo ila asiwe anasali kwenye makanisa ya kilokole nataka haya makanisa yanayotambulika , katoliki , lutheran , anglikana ila haya makanisa yasiotambulika awali hapana.
Nipewa hii na ndugu yangu nisaidie kupost yeye ana 30 sitaki midomo .
Kalale .

Dunia ya sasa ni ngumu kumpata mwenye vigezo hivyo.
 
Alafu nikuulize, wewe ni mwarabu au mzungu Mpaka utake vigezo vyote ivyo!!!
 
Kama yupo mkatoliki asie na mtoto anichekiwhats app nimtumie pic 0712505049 ume usizid 30 awe ba adabu mim ni 33 msukuma /mnyamwez watapewa nafas ya juu aje tuenjoy life.
 
Kweli na tafuta mchumba serious nimekuwa mtu mzima nahitaji familia
Vigezo serious awe handsome wa kiasi .
Awe 32 -40
Awe hajawahi kupata mtoto kokote.
Awe anafanya kazi kaajiriwa .
Elimu Anizidi mimi na Diploma .
Awe mweupe au maji yakunde awe mrefu wastani.
Asiwe mzubavu awe anachangamkia maisha .
Sipendi mtu mkimya sana nasipendi wambeya .
Akiwa arusha ni raha zaidi.
Kama ni mikoa mingine awe anauwezo wakuja Arusha.
Asiwe mchungu .
Na asiwe mchoyo na asipende kuweka siri .
Jingine asiwe mlevi ., awe anahofu ya Mungu.
Awe mkristo ila asiwe anasali kwenye makanisa ya kilokole nataka haya makanisa yanayotambulika , katoliki , lutheran , anglikana ila haya makanisa yasiotambulika awali hapana.
Nipewa hii na ndugu yangu nisaidie kupost yeye ana 30 sitaki midomo .
Kalale .
Unajua kuifinyia kwa ndani?
Hizo sifa zote nnazo na nusu.
 
Asiwe mchungu ??????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom