Utapata mkuu, Mungu yupo!☹️☹️☹️
😴😴😴😴😴Juu kabisa positive(Ana mimba), katikati negative(Hana mimba) , mwisho chini matokeo ni batili yaani kuna makosa.View attachment 2919886
😳umeanza na kusinzia? Mi ndiyo maana mwamba aliponiambia nitoe mimba niligoma siwezjua huenda nisingepata watoto tena😴😴😴😴😴
🤣umekasirika kabisa?Wanaume wa Aina yako basi usikute mtoto wa watu anakosa raha humo ndani kiherehere chote Cha Nini hicho hata usipo mpima Kama ipo siutaona tumbo😏
Anazingua 😅🤣umekasirika kabisa?
Halafu usikute hata uwezo wa kumpa mwanamke mimba Hana, shobo Tu badala ya kutafuta matibabu kutibu homoni zake.Wanaume wa Aina yako basi usikute mtoto wa watu anakosa raha humo ndani kiherehere chote Cha Nini hicho hata usipo mpima Kama ipo siutaona tumbo😏