milioni tano walizochangiwa cdm Igunga ni usanii

Akili kubwa kuongozwa na akili ndogo taarifa za nec cdm last uchaguzi walipata kura 23,000 ukigawa kwa hizo 5m ni wastani wa sh 250/= kwa maana hio hata wakitoa robo yao maana kila mtu achangie book itafika na zaidi maana kuna wengine watatoa m1 au laki 5 au laki moja kwa hio hoja yako haina mashiko .

na huo sio mchango rasmi siku wakiitisha mchango wa hadhara ni zaidi ya hapo pamoja na huo umasikini walio nao wa tz
 
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari vya leo ni kwamba cdm walipewe michango na wananchi wa igunga ili kusaidia gharama uendeshaji wa kesi.Hata hivyo kwa kutumia akili kidogo tu utagundua kuwa cdm wanawadaa watanzania ili kujenga hisia kwa wananchi kuwa cdm inapendwa.
Unalo mtajibeba magamba m4c daima
 
Mta weweseka sana magamba safari hii ila cdm Igunga ishaa kuwa himaya yetu!
 
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari vya leo ni kwamba cdm walipewe michango na wananchi wa igunga ili kusaidia gharama uendeshaji wa kesi.Hata hivyo kwa kutumia akili kidogo tu utagundua kuwa cdm wanawadaa watanzania ili kujenga hisia kwa wananchi kuwa cdm inapendwa.

Wise advice..... NEVER URGE WITH A FOOL.... PEOPLE MIGHT NOT NOTICE THE DIFFERENCE
 
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari vya leo ni kwamba cdm walipewe michango na wananchi wa igunga ili kusaidia gharama uendeshaji wa kesi.Hata hivyo kwa kutumia akili kidogo tu utagundua kuwa cdm wanawadaa watanzania ili kujenga hisia kwa wananchi kuwa cdm inapendwa.

Ahahaaha,

unajua source ya fedha za chadema,inawaumiza kichwa kweli kweli.
jifunze kupenda,utapendwa mengine yatakuwa yakawaida.
 
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari vya leo ni kwamba cdm walipewe michango na wananchi wa igunga ili kusaidia gharama uendeshaji wa kesi.Hata hivyo kwa kutumia akili kidogo tu utagundua kuwa cdm wanawadaa watanzania ili kujenga hisia kwa wananchi kuwa cdm inapendwa.

Tuambie wewe ni mwananchi wa jimbo gani! Maana cc wa Igunga tulichanga hiyo pesa ili tupate mtetezi wa kweli Mwl.Kashindye sasa wewe na uongo wako peleka kwa mkeo.
 
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari vya leo ni kwamba cdm walipewe michango na wananchi wa igunga ili kusaidia gharama uendeshaji wa kesi.Hata hivyo kwa kutumia akili kidogo tu utagundua kuwa cdm wanawadaa watanzania ili kujenga hisia kwa wananchi kuwa cdm inapendwa.

Kwa maana hiyo wewe huamini kwamba chadema inapendwa?
 
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari vya leo ni kwamba cdm walipewe michango na wananchi wa igunga ili kusaidia gharama uendeshaji wa kesi.Hata hivyo kwa kutumia akili kidogo tu utagundua kuwa cdm wanawadaa watanzania ili kujenga hisia kwa wananchi kuwa cdm inapendwa.
wewe makupa,uliishia la saba na ulikuwa mtoro sana darasani hivyo ni kama umesoma miaka mitatu tu.
 
Muda si mrefu tutaanza kuambukizana haka kaugonjwa ka kutofikiri, thread kama hizi leo mwisho kuchangia maana zinanidumaza akili
 
Naona mchakato wa Igunga umeshaaanza kisailensa. Pia naona Nape kaja na ID feki. kanyaga twende.
 
Back
Top Bottom