milioni tano walizochangiwa cdm Igunga ni usanii

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
5,002
2,537
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari vya leo ni kwamba cdm walipewe michango na wananchi wa igunga ili kusaidia gharama uendeshaji wa kesi.Hata hivyo kwa kutumia akili kidogo tu utagundua kuwa cdm wanawadaa watanzania ili kujenga hisia kwa wananchi kuwa cdm inapendwa.
 
acha uchakubimbi
 
we makupa kama umekosa cha kusema nenda kalale usubiri sensa!! Kuhadaaa kivip hapo!! toa ushahidi wa kuhadaa umma hapo!! ACHA UZEMBE WA KUFIKIRIA AU PELEKA MAGAMBA!! KWA .........! HUJAWAHI HATA KUJUA UTAMU WA MAGAMBA UNASHABIKI !! TPO WATU TUMEZALLIWA NDANI YA MAGAMBA LAKIN HATUWAPENDA!!........ THINK IN DETAIL BEFORE .... HUMUKUNA WATU WANA AKILI TIMAMU
 
Unajua nilitegemea uje na vithibitisho kuonyesha uongo wa CHADEMA na sio kuendelea kupiga domo kama Nape. Hoja kama hizi mods zinashusha heshima ya JF.
 
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari vya leo ni kwamba cdm walipewe michango na wananchi wa igunga ili kusaidia gharama uendeshaji wa kesi.Hata hivyo kwa kutumia akili kidogo tu utagundua kuwa cdm wanawadaa watanzania ili kujenga hisia kwa wananchi kuwa cdm inapendwa.

Ni kweli makupa cdm hawapendwi ila wanaungwa mkono tu na wananchi.. swala la kupendwa halipo kabisa ni 'usanii' tu
 
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari vya leo ni kwamba cdm walipewe michango na wananchi wa igunga ili kusaidia gharama uendeshaji wa kesi.Hata hivyo kwa kutumia akili kidogo tu utagundua kuwa cdm wanawadaa watanzania ili kujenga hisia kwa wananchi kuwa cdm inapendwa.

akili mchuzi wa nazi
 
Hata kama hauna hoja ya msingi ukija hapa jf jipange usidhani watu ni wavivu wa kufikiri kama ww.Weka hoja zenye mashiko hata kama umeajiliwa na nnauye jr
 
wanainchi wa igunga ni masikini wa kutupwa kula yao ya shida, majuzi tu walikuwa wakigombea mahindi ya msaada leo wawachangie chadema 5mil, uwongo mwingine wa kitoto kabisa.
 
huo ndo upeo wako wa kufikiri ni heri kuonekana muongo kuliko kuwapa vilemba na kofia ambavyohavina faida
 
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari vya leo ni kwamba cdm walipewe michango na wananchi wa igunga ili kusaidia gharama uendeshaji wa kesi.Hata hivyo kwa kutumia akili kidogo tu utagundua kuwa cdm wanawadaa watanzania ili kujenga hisia kwa wananchi kuwa cdm inapendwa.

hv kwann mods hamuwapi ban watu wasiofikiri vizuri?
 
Back
Top Bottom