milioni tano walizochangiwa cdm Igunga ni usanii

wanainchi wa igunga ni masikini wa kutupwa kula yao ya shida, majuzi tu walikuwa wakigombea mahindi ya msaada leo wawachangie chadema 5mil, uwongo mwingine wa kitoto kabisa.
Wamekua na umasikini huo chini ya utawala wa CCM,
Kama hawawezi kutokea watu 2,500 wa kuchanga japo Tshs 2,000/- kila mmoja basi SHAME ON YOU CCM!!!
 
wanainchi wa igunga ni masikini wa kutupwa kula yao ya shida, majuzi tu walikuwa wakigombea mahindi ya msaada leo wawachangie chadema 5mil, uwongo mwingine wa kitoto kabisa.

hakimu aliwauliza magamba aliyekufa kwa njaa igunga nani mpaka ikawalazima serikali kugawa mahindi kipindi cha kampeni?.
 
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari vya leo ni kwamba cdm walipewe michango na wananchi wa igunga ili kusaidia gharama uendeshaji wa kesi.Hata hivyo kwa kutumia akili kidogo tu utagundua kuwa cdm wanawadaa watanzania ili kujenga hisia kwa wananchi kuwa cdm inapendwa.

Nape aliwahi kusema hata akiachwa pekeyake ccm, hataacha uccm; ila asiogope maana mtakua wawili tar 01_11_2015 baada ya uchaguzi mkuu tar 31_10_2015
 
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari vya leo ni kwamba cdm walipewe michango na wananchi wa igunga ili kusaidia gharama uendeshaji wa kesi.Hata hivyo kwa kutumia akili kidogo tu utagundua kuwa cdm wanawadaa watanzania ili kujenga hisia kwa wananchi kuwa cdm inapendwa.

Makupa, unaongea na niaba ya wananchi?
 
hakimu aliwauliza magamba aliyekufa kwa njaa igunga nani mpaka ikawalazima serikali kugawa mahindi kipindi cha kampeni?.
Watanzania bado wengi wetu CCM imetufumba macho kutukana na Umaskini wetu kamwe CCM haitaleta maendeleo maana tukielimika tu CCM haina Bao lakini kwa sasa hivi watu wanasubiria Mlo tu kwenye Kampeni za huko Igunga lakini watu wazima na akili zao hili hawalioni wana-bwabwaja maneno tu.
View attachment 62691
 
wanainchi wa igunga ni masikini wa kutupwa kula yao ya shida, majuzi tu walikuwa wakigombea mahindi ya msaada leo wawachangie chadema 5mil, uwongo mwingine wa kitoto kabisa.

Ndo dharau za CCM kutuita sisi watanzania wa kawaida.Hata Rostam ni mwananchi wa Igunga.
 
Unafanya kazi ya Nape?
Sema basi zimetoka wapi na utoe ushahidi!
Kw hiyo unawadharau wananchi kuwa hawawezi fkisha pesa ndogo kama hizo?

Mwambie Nape haitishe mkutano na waandishi wa habari!

Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari vya leo ni kwamba cdm walipewe michango na wananchi wa igunga ili kusaidia gharama uendeshaji wa kesi.Hata hivyo kwa kutumia akili kidogo tu utagundua kuwa cdm wanawadaa watanzania ili kujenga hisia kwa wananchi kuwa cdm inapendwa.
 
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari vya leo ni kwamba cdm walipewe michango na wananchi wa igunga ili kusaidia gharama uendeshaji wa kesi.Hata hivyo kwa kutumia akili kidogo tu utagundua kuwa cdm wanawadaa watanzania ili kujenga hisia kwa wananchi kuwa cdm inapendwa.
Hujajipanga wewe! chama cha siasa ni kama timu za mpira hasa soka. kujua timu inapendwa tazama mahudhurio ya mashabiki wake siku wanacheza.watajaa na pengine ili kuona timu yao huingia kwa kiingilio kikubwa tu.VIVYO HIVYO kwa chama cha siasa kujua kama kinapendwa nenda kwenye mikutano yao watu kibao waliohamasika na wenye shauku ya jambo fulani watahudhuria bila kulazimishwa au kulipwa. ukifika hapo lazima ujue chama hicho kina pendwa usipo kubali huo utakuwa ubishi ambao hauna maana.
 
a fool.....sorce aden rage
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari vya leo ni kwamba cdm walipewe michango na wananchi wa igunga ili kusaidia gharama uendeshaji wa kesi.Hata hivyo kwa kutumia akili kidogo tu utagundua kuwa cdm wanawadaa watanzania ili kujenga hisia kwa wananchi kuwa cdm inapendwa.
 
Hii thread ina asili ya umbea tu haina lolote la kuchangia katika kuielimisha jamii. Tafadhali jitahidi kuweka thread zenye mashiko.
 
QUOTE=Makupa;4488028]Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari vya leo ni kwamba cdm walipewe michango na wananchi wa igunga ili kusaidia gharama uendeshaji wa kesi.Hata hivyo kwa kutumia akili kidogo tu utagundua kuwa cdm wanawadaa watanzania ili kujenga hisia kwa wananchi kuwa cdm inapendwa.[/QUOTE]

Dah ..hii kali unaongea au unacheua ..ha.ha ha umemaliza kazi ulotumwa fata ujira wako
 
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari vya leo ni kwamba cdm walipewe michango na wananchi wa igunga ili kusaidia gharama uendeshaji wa kesi.Hata hivyo kwa kutumia akili kidogo tu utagundua kuwa cdm wanawadaa watanzania ili kujenga hisia kwa wananchi kuwa cdm inapendwa.

shule ni yamuhimu sana jamani hata kama mtoto darasani hafanyi vizuri usiachekumpeleka shule kwani atajifunza hata mambo mengine kama haya ya uelewa wa mambo akiwa na wenzake

UJINGA, UMASKINI NA MAGONJWA vimeruditena
 
Na wewe kwa nini usijipange ukafanya Chama chako kupendwa? Kwa nini unalalama? kama huna chama kaa kimya
 
Back
Top Bottom