Mikopo ya simu Songesha,Timiza, je unaweza kufanya kitu cha maana kwenye hii mikopo ya simu!?

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
1,145
1,918
Naomba kuelezwa kuhusu hii mikopo ya simu je unaweza kufanya kitu cha maana kwenye hii mikopo ya simu!!!
Naona kama riba ni kubwa kidogo ingawa kuna muda inasaidia

Mfano mi jana gesi imeisha nikakopa kwenye simuNikasolve ugomvi na mke wangu!!

Sasa nauliza kama kuna kitu cha maana unaweza ufanyia mfano kupata hapa milion 1
hivi
 
Hiyo ni mikopo ya vocha na bundle! Haikufikishi popote! Fanyakazi upate hela zaidi!
 
Naomba kuelezwa kuhusu hii mikopo ya simu je unaweza kufanya kitu cha maana kwenye hii mikopo ya simu!!!
Naona kama riba ni kubwa kidogo ingawa kuna muda inasaidia

Mfano mi jana gesi imeisha nikakopa kwenye simuNikasolve ugomvi na mke wangu!!

Sasa nauliza kama kuna kitu cha maana unaweza ufanyia mfano kupata hapa milion 1
hivi
gas siyo kitu cha maana
 
Vya mana ambavyo umefanya mpaka sasa ni hivi;

1.
Umenunua gesi

2. Umesovu ugomvi na mke

Vya maana unavyoweza fanya baadaye;

1.
Kulipa mkopo ndani ya muda unaotakiwa kulipa, ili kiwango kiongezeke

2. Kiwango kikiongezeka na kikawa kikubwa zaidi unaweza fanya makubwa zaidi
 
Asante mwanangu
 
Back
Top Bottom