Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,719
- 114,064
Tahadhari wana JF, mkopo huu ni 'Wizi Mtupu'
Lakini kwa wenye deal, mkopo huu ni deal na lazima deal ijipe ili uweze kulipa huu mkopo wa deal.
Kwa jina jingine ni wale wenye shida za dharura za kuhitaji pesa huku wana magari yao, wayauze kwa nusu ya dhamani ya magari yao kwa kisingizio cha dhamana ya mkopo.
Kwa msaada zaidi, hiyo asilimia 30% kwa mwezi ni sawa na asilimia moja kwa siku. Kitu ambacho hajakisema ni kuwa baada ya zile siku 30 kupita, wanaendelea kuchaji asilimia moja kila siku inayozidi. Unapewa siku 90 deni linafika asilimia 100%. Dhama yako inauzwa kwa haraka kabla haija depreciate.
Makampuni mengi ya mikopo ikiwepo Buyport, Blue Finance, Easy Finance, Pride, Selfina, Finca etc, wanacharge 30% interest. Wako wanaofaidika, hawa ni wale wenye deals zao, na wako wanaolia, hawa ni wale wenye shida zao.