Obhusegwe
JF-Expert Member
- Dec 28, 2008
- 231
- 28
If you mean business achana na jazba......mimi nimekuliza, huo utaratibu wenu unabadilika badilika sana kuhusu;
1. Gharama za valuation ya assets - mara costs za valuation anazibeba mwombaji mara ni bure
2. Gharama za riba...mara min 15% to 20%, tena leo umekuja na 10% to 25%
3. Repayment period ....mara ni 1 Month, tena leo waja na 1 to 8 months!
Sasa unakuwa hueleweki, inaonekana mna mihela tu (bora isiwe from EPAs etc) na hamaja jipanga vizuri kabisa!
Achana nao hao, wezi watupu. Niliwapigia simu, waliyonambia ni tofauti kabisa na wanayosema humu, wanadhani watz bado tupo mbumbumbu kama enzi za mwalimu.