Mikopo kwa continuing students

Rick mill

Member
Oct 15, 2014
29
1
Mimi ni mwanachuo second year ambaye ckufanikiwa kupata mkopo kwa mwaka jana,hivyo ilinilazimu kuomba tena mwaka huu,lakin cku majina yalipotoka account yangu ilisoma NOT SECURED bt baada ya muda haikuonyesha tena chochote yaani kama nimepata ama cjapata, na nimejaribu kuchunguza nimeona hii ni kwa wote walioomba wakiwa vyuoni yaani continuing students.
Mwenye uelewa na hii kitu, msaada tafadhali.
 
Dah let's wait tuone!
Dah hawa jamaa wa bodi wanajiona xana hata cku moja hawajawah pokea cmu!
 
subirini ndugu zangu wanadai kuna majina wanasubiri toka TCU then wafanye mjumuisho from there update na majina yote yatatoka.

AFRICA is love
 
taarifa ni kwamba wale continuing applicants majina yenu yatakuja vyuoni moja kwa moja e.g kwa wale wa ifm batch ya continuing itakua tayari chuoni by jumanne. Hiyo ni according to loan officers wenyewe
 
ipo hivi kwa maelezo niliyopewa mimi pale bodi juz. inatakiwa upeleke admission letter au barua toka chuo unachosoma na mwisho ni tar 1 mwez 11 wa kusubmit hzo barua
 
Inakuaje kwa sisi tuliosubmit wakati tunaomba,au tupeleke tena"barua za chuo"
 
taarifa ni kwamba wale continuing applicants majina yenu yatakuja vyuoni moja kwa moja e.g kwa wale wa ifm batch ya continuing itakua tayari chuoni by jumanne. Hiyo ni according to loan officers wenyewe

asante kwa taarifa mkuu,bt bodi ni jukumu lao kutoa hizi taarifa lakini mpaka xaxa kimya
 
taarifa ni kwamba wale continuing applicants majina yenu yatakuja vyuoni moja kwa moja e.g kwa wale wa ifm batch ya continuing itakua tayari chuoni by jumanne. Hiyo ni according to loan officers wenyewe

mkuu mm nasoma hapo hao ehneee bas sawa ngoja tusubiri
 
Samahan naomba nchanganye mada, kwa mfano mi, first year pale Tia ila nkiingia ktk website ya bodi naambiwa not secures reason for not secured ni budget exhausted. Hii inamana ndyo mwaka huu ntokee yan cpat tena au niaje apo?, msaada kwa mwenye uelewa tafadhal
 
Itakuwa Umekosa maana Me naingia Mwaka wa Pili..niliomba mwaka Jana ilikuwa hivyo Not secured Budget exhausted.
 
Samahan naomba nchanganye mada, kwa mfano mi, first year pale Tia ila nkiingia ktk website ya bodi naambiwa not secures reason for not secured ni budget exhausted. Hii inamana ndyo mwaka huu ntokee yan cpat tena au niaje apo?, msaada kwa mwenye uelewa tafadhal

Wengi tulioandikiwa ivo Mwaka jana tumekosa ndo neno lao upenda sanaa kutumiaga
 
Back
Top Bottom