Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 5,159
- 11,446
Orlando pirates anataka kuchoma mkeka. Mwafrika sio wa kumuamini aisee
Mamelod mbona alishinda mkuuDortmund na Mamelodi
Ulimpa mazima au DCOrlando pirates anataka kuchoma mkeka. Mwafrika sio wa kumuamini aisee
Direct winUlimpa mazima au DC
Utaja frwa wewe. Onhoo. Mimi nimejaribu kuangalia nani ana upepo. Huyu jamaa yuko vzuri. Ndio maana nimemleta hapa. Yaani nipoteze muda kusuka mkeka kutumia watu ntaweza kweli mm.Sema tu huyo ni wewe, kajiuzie mwenyewe mikeka yako,
Kiujumla soka la Kenya cyo,,,,, kuna mahali wameamua kupita njia zaoWazee kuweni makini na ligi hizi ndogo, Kuna clip nimeona Kuna jamaa ligi ya Kenya kakutwa na mchezaji wanapanga matokeo jamaa ameshushiwa kipigo Cha kufa mtu na wenye timu 😃😃
ZAEM7GL betpawa
Kumbe kinachotusumbua wengi ni mitaji aisee odds tatu zilitoa kumbe,50E4E8 hizo mkuu