2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,694
Vamooos
Sisi tupo aisee Ninatimiza miaka 10 ya Kubet mwakaniSi mchezo Mkuu, michakato imekuwa mingi.
Nimeondoa mechi 4
Mzee umeficha hadi id😂😂😂ila unaonyesha hela. Kuna watu wabaya sana humu😂😂😂Tuombeane,View attachment 2588965
Najua treni halifiki popote hilo, tunajifurahisha tu,Mzee umeficha hadi idila unaonyesha hela. Kuna watu wabaya sana humu
Mkamalia hili treni linaweza kudondoka lazima liwepo lengineUsishuke mkuu kua mvumilivu
Hili halianguki mkuu, usiogope, nitaandaa la jpili piaMkamalia kwa emergency liandae treni lengine kama hill likidondoka ila liwe la safari fupi
Mkamalia hili treni linaweza kudondoka lazima liwepo lengine
Lugano na mpumbavu mwenzake wanataka kuharibuTANGAZO abilia wote tunaosafiri kwenye tren ielekeayo kigoma mnaombwa msishuke kwa ajili ya usalama tuko polini sana
Umeondoa mkojo umeacha vinyesiNimeondoa mechi 4
Kuweni watulivu, muendesha chombo yupo imaraMkamalia hili treni linaweza kudondoka lazima liwepo lengine
Lugano na mpumbavu mwenzake wanataka kuharibu