naomba maelezo ya kuweka na kutoa Airtel money kwenda skrill na kutoka skrill kwenda airtel money?
Nami nasubiria, nimetengeneza MasterCard ya Airtel money wamekata elfu mbili , nimeingia skrill ku add card inakataa, sijui nakwama wapi
 
1XBET kila nikitaka kujiunga nakutana na vipengele,,wakala nikasema NO
izi njia zote za mlolongo kisa tu kumkimbia wakala yaan unadepodit kutoka skrill 100000 inafika 75000 kuwen serious basi
Hapa mdau unanihakikishia skrill ina makato makubwa hivi 🤭
 
Naomba namba ya wakala wa 1xbet
Huyu hapa
Screenshot_20230124-143340_1674560106742.jpg
 
Back
Top Bottom