Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

100%
IMG-20230203-WA0015.jpg
 
Kwa wale wa kutaka kutumia 1xbet bila wakala
i)Kuweka ni kama ifuatavyo
Airtel money or Bank A/c >Skrill Account (Hii ni app kama Paypal n.k) >1xbet wallet.
ii)Kutoa nayo ni kama ifuatavyo
1xbet wallet >Skrill App>Airtel Money or Bank A/c.
Changamoto ni Skrill app,sababu lazima waku~verify.
Kama hapo kwako ni mziki endelea tu kutumia wakala
Mkuu kwenye usajili wa skrill nakwama kwenye kujaza nchi inaload na mwisho ni sema "errors in general servers"
Ushauri kwa anayefahamu hili
 
Kwa wale wa kutaka kutumia 1xbet bila wakala
i)Kuweka ni kama ifuatavyo
Airtel money or Bank A/c >Skrill Account (Hii ni app kama Paypal n.k) >1xbet wallet.
ii)Kutoa nayo ni kama ifuatavyo
1xbet wallet >Skrill App>Airtel Money or Bank A/c.
Changamoto ni Skrill app,sababu lazima waku~verify.
Kama hapo kwako ni mziki endelea tu kutumia wakala
naomba maelezo ya kuweka na kutoa Airtel money kwenda skrill na kutoka skrill kwenda airtel money?
 
Back
Top Bottom