Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Single TKT
2JAN
DARLIGHTON 3+
CELTIC 3+
MUMBAI C 3+
❤️❤️❤️👍❤️👍❤️👍❤️👍❤️👍👍👍❤️👍❤️❤️❤️👍❤️❤️❤️👍👍👍❤️❤️❤️❤️❤️❤️
3.50
WESTBROM 3,+
CRUSADERS 3+
APPOLON WIN
LDN
#OBSERVATIONSALSOALLOWED

2JAN
Liverp
HTFT
2/2
2.30 LDN

STRASBOUGH
HTFT
1/1
3.00
XXXXLOSTXXXX
 
Ty
 

Attachments

  • IMG_20230102_023648_375.jpg
    IMG_20230102_023648_375.jpg
    50.9 KB · Views: 3
Morning wapambanaji. Hongeren Sana mliotoboa na codes za bigboi na wengineo. Mi Jana nlkw busy na sikukuu sikuweza kutembea na codes nyingi.
Ila nilichukua ya kuna moja ya Munara ya basketball nilifata naona muda si muda tutalipwa na SPORTYBET. Shukran sana Munara ntakutumia ya vocha.
Mi sio muumini wa Sgr lakini nimeanza kuzifata. Nimeziwekea mkakati wa buku jelo.
Tuendelee kuwapa moyo watoa codes. Mabasketball na Michezo Mingn Pana ahuen

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kwa hisani ya bigboi nawatakia asubuhi njema .

Asubuhi njema kwenu wote mnaoyaponda matreni na kusema hayana mpango Hali ya kuwa kuweka single bet hamna uwezo huo.

Nawakumbusha Tu. ,Hilo NI Jero bigboi ubarikiwe sana mkuu
Daah hongera mkuu mimi jana sikua na mtaji nimekula kwa macho, acha nisake mtaji leo niingie mzigoni. Muhindi kaninyoosha sana juzi na jana kimtaji changu buku 2 kapita nacho mapema kabisaa dah!
 
Daah hongera mkuu mimi jana sikua na mtaji nimekula kwa macho, acha nisake mtaji leo niingie mzigoni. Muhindi kaninyoosha sana juzi na jana kimtaji changu buku 2 kapita nacho mapema kabisaa dah!
Jana ulikuwa kimya Sana mkuu, niliweka mikeka 36 hatimae huu mmoja umewin lakini Kuna mwingine ukiwin nitaukuungia na Wana wengine tuombe uzima
 
Back
Top Bottom