Emperor of the South
Senior Member
- Nov 4, 2019
- 133
- 150
Kanji hajawahi kuwa mwema kwetu, utashangaa unaenda vzr weee, ukifika mbelembele hapo anapita nayo akiba yako yooote."Safari ni hatua kuifika ni lazima uanze"
Leo nimeanza rasmi na na program maalum ya kubeti kwa odd ya 1.30
Yani kila siku nitakuwa natafuta odd 1.30 tu then natia mpunga
Mfami leo Nimeanza kwa kustake 1000 hapo nitakula 1300 kesho naweka tena hiyo 1300...yaan nitaenda mdogomdogo mpaka kieleweke,,,,Matarajio yangu mpaka kifika tarehe 20 mwezi wa 1 kama Mungu akipenda niwe nimeingiza sh.1m
Ila kila la heri mkuu