2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,694
Watu bana... yaani nihangaike kutafuta won ya october eti kuleta ushahidi as if huwa tunalazimishana kuweka codes? Kuweni serious basiKwa hiyo mnawapiga Mimi nikipumzika kubeti, ndo mana tunasema nyie ni mawakala wa kanji Bhai, leteni ushahidi, otherwise mnatudanganya Ili tuendelee kuliwa .
Usiwe unasumbuka mkuu, kufungua sportybT a/c ni single digit minute!Tajiri hakuna namna nizipate hizo timu maana natumia betpawa
Karata za mtaani zina kodi hujapata kuona.Kampuni za kamari za karata kitaani.... Maana hata pool table Ina kodi
Mkuu mambo niaje,Kuna code7EE2AD8 BETPAWA ulituma hapa juzi kati betpawa umetisha imetembea balaa,niliedit kidogo.Fanya utupie code m
Bila shaka ile ilikuwa na timu 18 ambayo mie ilichana timu 2? nikitulia labda baadae mida ya mechi saa 11 jioni maana Kuna zingine nili-share nikapigwa kipigo cha mbwa koko.Mkuu mambo niaje,Kuna code7EE2AD8 BETPAWA ulituma hapa juzi kati betpawa umetisha imetembea balaa,niliedit kidogo.Fanya utupie code mkuu
F7676C0
Bet pawa
Tusameheane kimtazamo,Ndugu zangu wa Tanzania mnisamehe, hii ni kutokana na ugumu wa maisha, nimebeti mechi za Leo za AFCON. Jana pia nilibeti na kushinda sasa Leo nimeweka tena mzigo, timu yetu nimeweka tunafungwa na ndio maana Nawaomba radhi kwani maombi yangu yatakuwa sawa na mkeka wangu.
Unakatwa na manaraacha ushirikina,unaficha Nini?
PSV PSV PSV PSV Falaaa tu
Mmmhhh...tuamini kama wazee wetu walivyopigana vita ya majimaji..6BC38A5 Sportbety
66C52F