Kuna Wanangu hapa wameshea wamepanga mkeka kwenye account ya mmoja wao wamechangia elfu 15 kila mmoja wameweka mkeka wa 30000 Sasa mkeka unaenda wiki ya pili cash out milioni 57 game zimebaki 7 wanavutana mmoja hataki cash out na ndie mwenye account ansema mkeka uta win basi ni vita wanasubiri milion 160
Story tu hizo, kibongo bongo kuacha milion 57 usichukulie poa
 
Kuna Wanangu hapa wameshea wamepanga mkeka kwenye account ya mmoja wao wamechangia elfu 15 kila mmoja wameweka mkeka wa 30000 Sasa mkeka unaenda wiki ya pili cash out milioni 57 game zimebaki 7 wanavutana mmoja hataki cash out na ndie mwenye account ansema mkeka uta win basi ni vita wanasubiri milion 160
waCashout then WaRebet..Japo Siamini km ni kwl
 
Kuna Wanangu hapa wameshea wamepanga mkeka kwenye account ya mmoja wao wamechangia elfu 15 kila mmoja wameweka mkeka wa 30000 Sasa mkeka unaenda wiki ya pili cash out milioni 57 game zimebaki 7 wanavutana mmoja hataki cash out na ndie mwenye account ansema mkeka uta win basi ni vita wanasubiri milion 160
Waache ujinga ndege mmoja mkononi ni bora kuliko wawili mtini
 
Kuna Wanangu hapa wameshea wamepanga mkeka kwenye account ya mmoja wao wamechangia elfu 15 kila mmoja wameweka mkeka wa 30000 Sasa mkeka unaenda wiki ya pili cash out milioni 57 game zimebaki 7 wanavutana mmoja hataki cash out na ndie mwenye account ansema mkeka uta win basi ni vita wanasubiri milion 160
Huyo atawatoroka wenzake 😁😁😁
 
Waambie wa cash out fasta,
 
MMMH aiseee hawaaa kitawapataa kituu walahiiii...waache ufalaaaa
 
Tuendeleeni na ya Kwetu

Tuishi humu,mengine matokeo

Screenshot_20230620-125432.png
 
msaada wataalamu hizi code za wanaijeria 1xbet zinagoma mbona au nayo kama ya sportybet hadi ubadili nchi 1xbet nabadilishaje
 
Attachments

  • D0D62965-C9B5-4FF9-938D-8583F5BC30E2.jpeg
    D0D62965-C9B5-4FF9-938D-8583F5BC30E2.jpeg
    148.7 KB · Views: 7
analeta story za vijiwe vya kahawa vijana wenyewe bado wakaa kwa shemeji fanya masihala na million 57 siwaengeenda kupanga wakaacha kukaa kwa shemeji
Sikulazimishi na sipingi ww kuto kuamini mana hata mimi nilibisha ila nilipojionea nikaatamani nikwapue ile cm
 
Back
Top Bottom