Nimeisoma ila kwa tabu kweli.Mpaka nimesahau yote ya juu.Nakumbuka la mwisho tu..
Tunashukuru kwa kutukumbusha.Ila na wewe umevunja sheria,umeandika sredi ndefu sana.Ha ha ha!
Mleta uzi ana hoja.Asikilizwe!mods do not let his post be nipped in the bud!
Hivi unajua maana ya ''nip in the bud'' wewe? Huku kuungaunga kutaisha lini jamani? Yaani mtu unatumia tu maneno bila hata kujua yanatumikaje.
sweety uko sahihi, hiyo idiom imetumika visivyo hapa, nilitegemea mleta uzi ndiye aitumie na siyo aliye-comment kwa mleta uzi. Amejifunza kitu, wakati mwingine atakuwa makini.Hivi unajua maana ya ''nip in the bud'' wewe? Huku kuungaunga kutaisha lini jamani? Yaani mtu unatumia tu maneno bila hata kujua yanatumikaje.