Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

Status
Not open for further replies.
Nimeweka topic inaasema hivii '' zzk ni maarufu kuliko chadema .. Haijakaa dakika 20 imetolewa na haipo mpaka sasa ..
Huu ni ubabe na kunyimana haki sa kuongea ( write of speech)
post kama hiyo haina abuse yeyote lakini moderator anadiriki kuitoa eti kisa haitetei chadema .. This is full dictorship..
 
Nimeweka topic inaasema hivii '' zzk ni maarufu kuliko chadema .. Haijakaa dakika 20 imetolewa na haipo mpaka sasa ..
Huu ni ubabe na kunyimana haki sa kuongea ( write of speech)
post kama hiyo haina abuse yeyote lakini moderator anadiriki kuitoa eti kisa haitetei chadema .. This is full dictorship..
Pumba kama hizo peleka Facebook ukashee na wapaka poda wenzako.
 
Pumba kama hizo peleka Facebook ukashee na wapaka poda wenzako.

yaani watu wengine banah .. saa ulichouliza nn .. thread kama hizo ndo zinatolewa ..inaonekana una chuki sana na ZZK ww .. dont hate a player ..hate a game ..
 
Invisible na hawa wanaotumia shortcut mnawachukuliaje mfano "cmzr" ndio nini

Kweli hivi vifupisho si mahali pake hapa, mtu anaweza akawa na shida yake au mawazo mazuri mtu atashindwa kusoma kwa kudhania ni upuzi au utoto ulioandikwa ndani. Naomba wanaofanya hivo wajirekebishe hili ni jukwaa la heshima sana watu wanaelemika wanatatuliwa matatizo yao maana limesheheni wataalam mbalimbali.
 
Last edited by a moderator:
jamani kuna tatizo gani? mie kila ninapo changia ninaondolewa? kama niugeni mpaka lini kikomo chake. maana nina zaidi ya miezi mitatu kama nakosea nifuteni kabisa. siwezi kuwa natizama hoja bila kuchangia.
 
Tunashukuru kwa kukumbusha,
Kwani kila leo wanachama wapya wanaingia natumaini tutajiheshimu na kujibu hoja badala ya majibu ya kashfa,

Kuna vijana ambao ni underage ambao wanashangaa kuona majibu yanayotolewa si ya uungwana kabisa,

Ni mengi yameandikwa lakini naona la kuzingatia zaidi ni heshima,Amani
Thanks buddy Invisible and the rest of the team
 
Last edited by a moderator:
invisible hizo sheria ni nzuri tu.Tatizo ni biasness .Mimi niliweka habari na source yake ya BBC swahili,haikuchukua dakika ikafutwa.

Hili mpaka leo limepunguza morali ya kuanzisha na kuchangia thread nimekua msomaji tu.
 
Ila ni kweli hapa kuna watu hawafai coz unaweza andika kitu unahitahi msaada Wa mawazo MTU anaandika utani
Naomba waende sehem za joke waka jokeane sio pale MTU anapo htaji ushauri.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom