Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

Status
Not open for further replies.
kasome ibara ya 47 hadi 50 ya katiba utajua ni muda gani makamu wa rais atashika madaraka
 
Yes, tulishatoa maoni hoja dhaifu ziwe zinafutwa haraka sana. Asante jf kwa utekelezaji
 
kama una access ya kuingia jf pia katiba ipo mtandao ni kiasi cha kudownload na kuisoma
 
Maoni yangu mnayaondoa kila nikiyatoa tatizo ni nyie au CCM?!

Nimeuliza; "Ni lini makamu wa Rais atakaimu nafasi ya Rais?" Mkafuta, muwe mnanijibu basi kabla hamjafuta maoni yangu.

Au nifungieni sio tatizo kabisa kwangu.
JF wanafuata maelekezo kutoka juu, nimeshafutiwa sana na kufungiwa. JF wameshikwa na woga wa mtoto wa Dikitekta uchwara
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom