Kijana mmoja amekamatwa anatoglo na muhuri wa tume ya uchaguzi akiwa anataka kuingia nao ndani. Kijana huyo alikamatwa likiwa ni tukio la pili ambalo limefuatana na lile lilotangulia la kukamatwa kwa mtendaji kata wa Tabata aliyekuwa na karatasi zaidi ya tano za matokeo ambazo zilikuwa zimejazwa na hazikuwa na muhuli wa tume.
Kinachosikitisha ni kwamba polisi walimuachia yule kijana baada ya kuwaambia alikuwa ameokota na kumpelekea mjumbe wa nyumba kumikumi.
Source ITV.
Kinachosikitisha ni kwamba polisi walimuachia yule kijana baada ya kuwaambia alikuwa ameokota na kumpelekea mjumbe wa nyumba kumikumi.
Source ITV.