Elections 2010 Mihuri na form za matokeo zakamatwa Anatoglo!

Am very convinced that kijana aliyeshikwa na mihuri akaachiwa ni kutoka usalama wa taifa(UWT). Watu mnaweza kudhani ni mjinga flani kumbe mwenzenu ni mtu mkubwa sana na anatumiwa na UWT kuhakikisha Mahanga anatunisha msuli hapo Segerea. Kazeni buti wanaCHADEMA
 
Hii ni tatizo kubwa sana watu hawa wajibiki kabisa na kazi zao, kwanza polisi kuwaachia bila sababu sijui ndio maaelekezo kutoka JK maana kwa issue kama hii ange kamaatwa mpizani mgeona tu kama hata wangemwachia hata hiyo baadae lakini kafanya sisiemu hakuna shida.
 
Katika kuthibitisha kuwa wanadamu wameendelea kuwa na kila mbinu chafu ya kuiba haki, Kijana mmoja alipita akiwa na mfuko wenye chakula na kujaribu kuingia nao katika mojawapo ya ukumbi wa majimbo yanayongojea kutangazwa matokeo yake huko Dar.
Wananchi waliokuwepo nje wakiamua kumepkua na kukuta amebeba chakula.
Hata hivyo wananchi hawa hawakuridhika, waliendelea kumpekua na zaidi na kukuta chini ya kile chakula kulikuwemo na fomu zilizo na matokeo ya kura za wagombea.
Hii ilikuwa ni majira ya usiku. Alikamatwa na kupelekwa kituo cha polisi.
Huko nyuma alikuwa amekamatwa kijana mwingine aliyekuwa ameingia akiwa na alichodai kuwa ni mihogo na alikuwa akiipeleka kwa waliokuwa ndani ya ukumbi wa kuhesabia kura. Walipopekua walimkuta akiwa na mihuri ya tume ya uchaguzi.
Source ITV. Usiku Nov 2.
 
CCM ni majambazi Sugu. wanang'ang'ania fweza za walipa kodi ambazo wanawagawia Iran na USA kwa kujipendekeza. Mnakumbuka wale watemi waliowauza raia wao utumwa? Ndio hawa CCM sasa wanavyotufanya Watanzania.
 
Kwani kama hawapangi ni majibu gani wanataka Kinana kajua wapi kwamba wapinzani wamepata viti 29 bara??? naona la Segerea na Ukonga walishahesabia CCM kwa hiyo watapigana mpaka watunganyanye. Nawaomba vijana huko bogno kaza uzi jamani natamani ningekuwepo nikaongezea nguvu na mimi. Nina hasira sana na hao majambazi
 
Hakuna kingine hapo inatakiwa asubui tu shughuli zote za mjin zisimame(nyamagana style)pipooos pawaaaa!! Yatatoka tu
 
Sasa ccm wamezidi. Wasifikiri watanzania wataendelea na unyonge wao milele.
Enough is enough wakitaka nchi ichafuke itachafuka muda wowote.
 
CCM Waache wananchi wapewe haki yao, haiwezekani tunasubiri matokeo ya uchaguzi toka jumapili tena ya mbunge eti na sehemu yenyewe ni Dar. Kweli CCM choka mbaya, tatizo hawakujindaa kushindwa wanaona wenyewe ni wao tu kila kitu ndo wenye nchi. Damn CCM!!
 
Hii haikubaliki nasema kama noma na iwe noma

Matokeo Tunduru Kaskazini

Kikwete amepata kura 22,261

Slaa amepata kura 1,965

Lipumba amepata kura 12,935
 
Sasa ni muda wa wananchi kutumia petitions kudai haki zetu mahakamani, au kujitoa sadaka kwa ajili ya wengine!
 
KWELI jk WEWE UTAKUWA RAIS WA CCM TU NA TUME YAKO YA UCHAGUZI
 
Nyamagana vijana walimwambia Kabwe tangaza matokeo sasa hivi au tunakwenda kuchoma nyumba yako Isamilo naye akatii amri mara moja baada ya kuona hawatanii na hawaogopi lolote. Jee Tume wanataka matokeo yawe yanatolewa kwa style hii?
 
Back
Top Bottom